Watoto wengine hafanani nao kabisa

Watoto wengine hafanani nao kabisa

Kitanda hakizai haramu, huenda hao asiyofanana nao ndio watakuja kumsaidia na wakawa wametulia ajabu kuliko hao anaona ndio wake. Ashukuru Mungu tu.
 
Wana JF kuna jambo ambalo linamtatiza jamaa yangu ambalo amekuwa akifikiri kwa muda mrefu bila ya kupata ufumbuzi, yeye amejaliwa kuwa na mke na watoto watano, lakini kati ya hao watoto watatu ni "true copy" ya sura, tabia, rangi na hata kutembea yao, lakini wale wawili hawafanani na wenzao hawako kwa mkewe wala kwake katika kufanana anaomba ushauri wenu inawezekana amefanyiwa uchakachuaji au ni hali halisi?

kwahiyo wewe ndio umetumwa kuja kuulia hapa sio

kweli kuna binadamu wanafanya kazi za majini............

mpeleke akafanye dna
 
Wengine huwa wanafanana sehemu za siri............
Mwambie awachunguze...........

Teh! teh! teh! teh!

Very true! Au wamesadifu nyeti za dada zake au kaka zake! afanye uchunguzi wa kina na atakubaliana na hili!
 
Labda wa fundi cherehani pale jirani baba wawili si unauna hata vichogo vyao halafu fundi akipima nguo si lazima akumbatie kwa kushika kiuno.
 
Back
Top Bottom