Wengine huwa wanafanana sehemu za siri............
Mwambie awachunguze...........
Kwa nini usiseme wewe ndio unauliza!? kwa nini mnapenda kusingizia eti jamaa!!
DNA test inahitaji a piece of hair or swab sample, achukue na kufanya test. haitaji hata kumwambia mkewe au watoto, its simple
Sasa nashindwa kuelewa kwanza unasema bahati mbaya huna watoto halafu wewe huyo huyo unakengeuka na kusema una watoto wawili!! ujinga huu.Nadhani hujaipenda hii kwa kuwa inakuhusu au kwa walio karibu nawe, bahati mbaya sina watoto zaidi ya wawili ambao wote ni "true copy of the original" na sina sababu ya kusema uongo
Wamefanana na Bibi au Babu..............
Ha,ha,ha,ha,ha,haaaa!Watakuuliza kwani babu na bibi walikuwepo kwenye rigwaride?
mkuu hii njia huwa inaambatana na kifo so sio nzuri.Kuna DNA ya Kichagga hutumia jani la ITHALE majibu ni dakika mbili tu