Watoto wawili iwe sera mahususi ya uzazi wa mpango kwa Tanzania ya sasa

Wengi tu ndo maana naongea... hamna muda wa kufanya kazi zaidi ya kuzaa.
Ndo uwaambie hao kuwa waache kuzaa wasikuombe tusipangiane. Afrika yenyewe matoto yanakufa kufa tu halafu unataka tuzae wawili baada ya miaka tukose hata wakutusaidia.
 
Mnatujazia machokoraa tu na mapanya road... mtu hata kitqndq hana ana mitoto 7 waafrika hovyo sana
 
Hata uchumi wetu ni mkubwa sana kwa Rwanda, Malawi, Malawi, Zimbabwe na Burundi ila ni mdogo kwa Kenya yenye watu wachache kuliko sisi.
Viongozi wetu ndio wanatuibia na tunawaogopa kuwawajibisha.

China wako takribani bilioni 2 na ni taifa la pili kwa uchumi mkubwa, the same to India, Brazil na Nigeria.

Mataifa yenye watu wengi yanakua na chumi kubwa kubwa.

Sisi tupo milioni 60 tunalalamika.

Ukisafiri unakatiza mapori mpaka unalala halafu unataka tusizaliane??

Tukifika milioni 200 hapo ndio tunapaswa kupunguza uzazi.
 
Tupo wachache sana ndio maana akili zimelala, tunatakiwa kuwa wengi, si ajabu huko mitaani kukuta vijana wameamka asubuhi wanakaa kwenye vibaraza kuota jua, tuko slow sana.

Hata hivyo uwingi ni ni nguvu kazi, zinahitajika strategies madhubuti za kuitumia hizo nguvu kazi.
Aisehh acha nicheke
 
Aisee tumezaliwa zaidi ya wawili,,lakini naona kama tupo wachache sana,kwanini tusingekuwepo hata 5+

Hakuna kitu kitamu kama family yenye upendo na amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali ya maisha nchini imezidi kuwa ngumu zaidi, hali ni ngumu zaidi kwa familia zenye watu wengi ambao ni tegemezi kwa angalau wanafamilia wachache wenye kipato ambacho nacho ni kidogo. Matokeo yake watu wengi wamekuwa wakiishi maisha ya mkononi kwa mdomoni tu "hand to mouth" kwa sasa jambo ambalo ni hatari sana.

Mwaka 1980 China baada ya kuona idadi ya watu wake inaongezeka kwa kasi huku kiwango cha umaskini bado kikiwa juu na ikiwa na malengo makubwa ya maendeleo ilianzisha sera ya mtoto mmoja kwa familia moja. Sera hiyo ililegezwa mwaka 2015 ambapo familia ziliruhusiwa kuwa na watoto hadi wawili.

Kwa sasa wastani wa mwanamke kuzaa watoto Tanzania ni watoto 5! Hiki ni kiwango mara mbili zaidi ya wastani wa kidunia. Hiki ni kiwango kikubwa sana kulinganisha na hali ya uchumi ya raia wengi. Hali hii inachangia kuzoretesha kasi ya maendeleo, kuongeza ugumu wa maisha na umaskini kwa kiasi kikubwa.

Ni wakati wa sasa serikali ya Tanzania kulipa umuhimu jambo hili na kuja na sera mahususi ya kuhamasisha wananchi kutozaa watoto zaidi ya wawili. Watoto wawili iwe ni ukomo hadi hali ya uchumi itakopukwa nzuri.
Serikali inachoweza ni kuoengeza tozo tu
 
Piga vitu kula mkeo akuzalie as long as una nguvu unayo, pesa unayo ya kuwalea basi, ila usiweke visera uchwara kwa kila mtu wakati ukwasi haufanani kila mtu na vipato vyao,
 
Ndo uwaambie hao kuwa waache kuzaa wasikuombe tusipangiane. Afrika yenyewe matoto yanakufa kufa tu halafu unataka tuzae wawili baada ya miaka tukose hata wakutusaidia.
Haya ndio mawazo ya hovyo ya kimaskini, mawazo ya kuzaa ili watoto waje kukusaidia.
 
Hali ya maisha nchini imezidi kuwa ngumu zaidi, hali ni ngumu zaidi kwa familia zenye watu wengi ambao ni tegemezi kwa angalau wanafamilia wachache wenye kipato ambacho nacho ni kidogo. Matokeo yake watu wengi wamekuwa wakiishi maisha ya mkononi kwa mdomoni tu "hand to mouth" kwa sasa jambo ambalo ni hatari sana.

Mwaka 1980 China baada ya kuona idadi ya watu wake inaongezeka kwa kasi huku kiwango cha umaskini bado kikiwa juu na ikiwa na malengo makubwa ya maendeleo ilianzisha sera ya mtoto mmoja kwa familia moja. Sera hiyo ililegezwa mwaka 2015 ambapo familia ziliruhusiwa kuwa na watoto hadi wawili.

Kwa sasa wastani wa mwanamke kuzaa watoto Tanzania ni watoto 5! Hiki ni kiwango mara mbili zaidi ya wastani wa kidunia. Hiki ni kiwango kikubwa sana kulinganisha na hali ya uchumi ya raia wengi. Hali hii inachangia kuzoretesha kasi ya maendeleo, kuongeza ugumu wa maisha na umaskini kwa kiasi kikubwa.

Ni wakati wa sasa serikali ya Tanzania kulipa umuhimu jambo hili na kuja na sera mahususi ya kuhamasisha wananchi kutozaa watoto zaidi ya wawili. Watoto wawili iwe ni ukomo hadi hali ya uchumi itakopukwa nzuri.
Na sisi wasukuma inatuhusu hii? Au basi
 
Nadhani hii sera ingeenda sambamba na utoaji wa elimu kwa watu hasa mahospitali kwa wanaojifungua,mama na baba wote wapewe faida ya kuwa na watoto wa wachache kiwango kisichozidi wawili . Namna ambavyo itakuwa ni rahisi kuwahudumia watoto katika maradhi , chakula na mavazi na itawapa nafasi wao Kama wazazi kupata muda wa kuwaza maendeleo katika ngazi ya familia zao .tofauti wakiwa na utitiri wa watoto
 
Uwekezaji -kilimo/biashara
viwanada
Makampuni
Utalii

Sekta zote hzio zikitiliwa mkazo zitatengeneza ajira nyingi sana ,na kupunguza makali ya uchumi mbovu.

Tatizo sio idadi ya watoto.. hata chini baada ya corona tu iliwalazimu kurekebisah hizo sheria,
Tatizo la rasilimali watu nalo pia ni janga jingine nchi ilikuwa na wazee wengi kuliko vijana .

Nchi kama cnada hadi leo hii kila jimbo limeanzisha program za kutafuta immigrants waende kufanya kazi huko na wanawapa resident permit kabisa kisha urai,

Wazawa vijana wanazaga US, na nchi nyingine , Canada wanabaki wazee wenye watoto wawili au mmoja.. Na watoto wao pia hawazai kabisa au nao hufata tu life style kama ya wazazi wao.
 
Idadi ya wa Tz wanaofariki kwa magonjwa yanayoepukika au kutibika ni wengi
Rate ya umri wa kuishi imeshuka ..

Unafikiri tutabaki wa ngapi years 2 come ??

Umasikini hauletwi na idadi ya watoto ulionao , kuna factors nyingi za kuzingatia hapa...!
Me naspoti uzazi wa mpango (kuzaa kwa mpangilio) watoto wapishane miaka lakini sio kulimit watu wazae mwisho 1 au wawili hii njia sio sagihi kukabiliana na umasikini.

Njia sahihi ni kuhakikisha zinatengenezwa ajira za kutosha katika kila sekta
 
Na sisi tukishakuwa kama Canada tutaenda kutafuta wazungu na Wachina waje kufanya kazi za ndani na kuhudumia wazee wetu.
Uwekezaji -kilimo/biashara
viwanada
Makampuni
Utalii

Sekta zote hzio zikitiliwa mkazo zitatengeneza ajira nyingi sana ,na kupunguza makali ya uchumi mbovu.

Tatizo sio idadi ya watoto.. hata chini baada ya corona tu iliwalazimu kurekebisah hizo sheria,
Tatizo la rasilimali watu nalo pia ni janga jingine nchi ilikuwa na wazee wengi kuliko vijana .

Nchi kama cnada hadi leo hii kila jimbo limeanzisha program za kutafuta immigrants waende kufanya kazi huko na wanawapa resident permit kabisa kisha urai,

Wazawa vijana wanazaga US, na nchi nyingine , Canada wanabaki wazee wenye watoto wawili au mmoja.. Na watoto wao pia hawazai kabisa au nao hufata tu life style kama ya wazazi wao.
 
Miafrika inazaana kama mbwa na haina mipango thabiti ya malezi na makuzi ya watoto wao...

Unakuta mimama ya kiafrika imepagata watoto kila mahali huku hali zao zikitia kinyaa sana.
Umetumia lugha kali sana mkuu punguza mihemko uavyosema hivyo mfikirie Mama ako pia na jina lako ni la kibantu kabisa hilo ifike mahali vijana wa Kiafrika tujitambue na kujithamini!Gwan Man

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom