Watoto waoana, ni huko dodoma

Watoto waoana, ni huko dodoma

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956





NDOA YA WATOTO WADOGO KABISA ILIVYOFANA HUKO MJINI DODOMA...INASIKITISHA SANA..!!
[h=2]
[/h]

​

Vitendo vya ukatili wa kijinsia bado vipo katika jamii yetu, nikiwa huko mkoani Dodoma nilipata kushuhudia ndoa ya watoto wadogo kabisa, kiukweli nilikuwa nashangaa na bado nashangaa mpaka sasa hata siamini, haya nilikuwa nikiyasikia tu ama kuyasoma ila nimepata kuyaona kwa macho yangu..

​

mdau tutazame then tuje kuchangia mawazo mana inabidi ifike muda vitendo hivi vya ukatili wa kijinsia iwe vimefika mwisho..
 
Last edited by a moderator:
Hapo wazazi ndo wakulaumiwa ikiwezekana ziwepo sheria kali kwa wale wote watakaothubutu/kubainika kuozesha watoto wao wangali bado wadogo.
 
Ethiopia wana lisha Fisi wao na wakitoka hapo wanawaambia Wanawake "Chagua bega."

Wazee wenyewe hawa hapa kutoka bondeni: King Mswati III

king_gallery__600x364.jpg
 
Well, sio kitu cha kusupport lakini is less evil kuliko angebebeshwa mimba huyo mdada na mhusika akasepa. Ikumbukwe kuwa wote sio kwamba wako shule na already wanamahusiano.
Cc
MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Hili ni Tatizo kubwa, Huyu Binti bado anatakiwa kuwa shule Jamani
 
the world consenting age has to be reviewed. if we consider 18 as being too much, it has to lowered to say 15! lifespan!
 
sio binti anatakiwa kuwa shule!!! huyo mvulana anatakiwa kuwa wapi kwani??!!! acheni ubaguzi hapa wanawake mna tabia ya kujifikiria wenyewe sana na ndio maana mtaendelea kunyanyasika mbele ya wanaume huku mkitegemea huruma toka kwa wanaume!!!!! mimi huwa siwaelewi wanawake pale ambapo unakuta wako kwenye uhusiano na wanaume kwa muda mrefu then ikitokea kutoelewana na kuachana tena wakati mwingine mwanamke ndio sababu utakuta wanalalamika eti wanaume wamewatumia kisha wamewaacha halafu wamewapotezea muda!!! kwani wanaume wao tu ndio wenye muda wa kupotezewa na sio wanawake??!!! au wanaume wao walikuwa wanatumia vijiti na sio kiungo cha mwili kujamiiana na hao wanawake wanaotumia kiungo cha mwili pia??!!! acheni ubinafsi ninyi kina mama!!!!!!
 
Back
Top Bottom