Watoto wanatakiwa kufanana na baba yao, na sio kufanana na vipimo vya D.N.A

Hili bandiko linaonesha huyu aliye andaa yuko deep in shallow kwenye genetics(inheritances)
 
1. Baba yako ana watoto 10 na kila mtoto ana mama yake, ona kazi ya Mungu ilivyo, watoto wote lazima wafanane na Baba yao. D.N.A ya kazi gani wakati Mungu amedhihirisha kazi yake.

2. Mama yako ana watoto 10 kila mtoto na Baba yake, chakushangaza kila mtoto atakuwa na sura yake yaani kila mtoto atafanana na baba yake halisi. Kazi ya Mungu haina mapungufu, D.N.A ya nini wakati mambo hadharani.

3.Kunatofauti kubwa sana kati ya Baba Mzazi na Baba wa D.N.A

4. Mnapotegeshewa mimba msikimbilie D.N.A kimbilieni maumbile ya Mungu na ndio maana wengi wanalea watoto wasio wao.
Na kufarijiana eti kitanda hakizai haramuu.

Bado naendelea na utafiti wangu.

Rev. Deogratius Kisandu
The Kisandu Organisation
23 Desemba 2016

Kwangu mimi afanane nami au la ni mwanangu tu!
 
Back
Top Bottom