Watoto wanatakiwa kufanana na baba yao, na sio kufanana na vipimo vya D.N.A

1. Baba yako ana watoto 10 na kila mtoto ana mama yake, ona kazi ya Mungu ilivyo, watoto wote lazima wafanane na Baba yao. D.N.A ya kazi gani wakati Mungu amedhihirisha kazi yake.

2. Mama yako ana watoto 10 kila mtoto na Baba yake, chakushangaza kila mtoto atakuwa na sura yake yaani kila mtoto atafanana na baba yake halisi. Kazi ya Mungu haina mapungufu, D.N.A ya nini wakati mambo hadharani.

3.Kunatofauti kubwa sana kati ya Baba Mzazi na Baba wa D.N.A

4. Mnapotegeshewa mimba msikimbilie D.N.A kimbilieni maumbile ya Mungu na ndio maana wengi wanalea watoto wasio wao.
Na kufarijiana eti kitanda hakizai haramuu.

Bado naendelea na utafiti wangu.

Rev. Deogratius Kisandu
The Kisandu Organisation
23 Desemba 2016
Kweli Mkuu umenifungua kitu leo
 
...teh hee hee..,ujue we jamaa una mtindio wa ubongo na taahira ya akili;ila kuna ajuza kakupa 'like' kwenye huu uharo ulioharisha hapa;
.....waarabu wa pemba ....
 
Katika watu wenye upeo mfupi ni hawa wachungaji! Sijui huwa wanaongoza vipi kondoo wao! Wachungaji wa siku hizi ni shida!!! Mtu akiweza kupiga kelele na Kujua mistari miwili ya biblia anajiita mchungaji ndio matokeo yake haya!!!!
 
Mtoto akitoka mwarabu basi huyo ametoka kwa babu. Na akitoka mchina huyo kachukua sura ya bibi.
 
Ndugu uko sawa kabisa ila kwa MTU asiye na busara ataishia kupinga na kutukana. Kinachoniuma zaidi kwenye familia mnazaliwa watu 10 kila MTU na sura yake lakin wachina wakorea mbona wao wanafanana

Sisi Tanzania ni wapotoshaji.
 
So wanaofanana hawazid wawili? Wakizid unakuja kuifuta kauli au?
Nafikiri hujanielewa, hujawahi kuona mtu wa mbali kabisa amefanana kabisa na mtu unayemjua na hawana hata undugu, kwa hiyo watakuwa wa baba mmoja au?? Na kwenye familia sio lazima watoto wote wafanane na baba ndo awe wa kwake kwa hiyo akifanana na mama sio wake!!!
 
1. Baba yako ana watoto 10 na kila mtoto ana mama yake, ona kazi ya Mungu ilivyo, watoto wote lazima wafanane na Baba yao. D.N.A ya kazi gani wakati Mungu amedhihirisha kazi yake.

2. Mama yako ana watoto 10 kila mtoto na Baba yake, chakushangaza kila mtoto atakuwa na sura yake yaani kila mtoto atafanana na baba yake halisi. Kazi ya Mungu haina mapungufu, D.N.A ya nini wakati mambo hadharani.

3.Kunatofauti kubwa sana kati ya Baba Mzazi na Baba wa D.N.A

4. Mnapotegeshewa mimba msikimbilie D.N.A kimbilieni maumbile ya Mungu na ndio maana wengi wanalea watoto wasio wao.
Na kufarijiana eti kitanda hakizai haramuu.

Bado naendelea na utafiti wangu.

Rev. Deogratius Kisandu
The Kisandu Organisation
23 Desemba 2016
Wewe umefanana na baba yupi kati ya hao uliowataja?
 
Back
Top Bottom