Watoto wanakula maraha hawa...

Watoto wanakula maraha hawa...

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
31462_4924377598798_175904753_n.jpg
 
Yah.......maraha yenye kichocho..........
 
Wapo kwenye risk kubwa ya kupata ugonjwa wa kichocho!
 
msiwaachie watoto namna hiyo jamani, wanaoga kwenye hicho kishimo hata urefu wake hawaujui arrrgh
 
Yah.......maraha yenye kichocho..........

hapo hamna kichocho coz wamekaa tu!. halafu haya ni mambo ya kupwa na kujaa. wameogopa kwenda mbali ili maji yakulidi yasiwazidi. yaani hapo unachimba shimo unaingia ukitaka unajifukia na mchanga. mambo ya beach bibi!..mia
 
Mbona hapo ni kama fukwe ya bahari???

Si ndio na mimi nashangaa, nikiangalia kwa umakini naona kabisa hapo ni ufukweni sasa kichocho na maji chumvi wapi na wapi japo sijasoma biology.
 
Nahisi bi mkubwa atakua alipitiwa kidogo...

Si ndio na mimi nashangaa, nikiangalia kwa umakini naona kabisa hapo ni ufukweni sasa kichocho na maji chumvi wapi na wapi japo sijasoma biology.
 
mama zao wapo wapi?

Haa haa haaa.. Chezea watoto wa mandazi road/ uwanja wa magunia na bonde la mpunga weye.. hao ni wanajeshi japo hawana magwanda hawahitaji waangalizi. (Joke)
 
Heheh...kitu cha Msasani

Haa haa haaa.. Chezea watoto wa mandazi road/ uwanja wa magunia na bonde la mpunga weye.. hao ni wanajeshi japo hawana magwanda hawahitaji waangalizi. (Joke)
 
Dada baharini hakuna kichocho sana sana hatari iliyopo ni kung'atwa na ngadu kwenye vikojoleo.

Chamoto nimejikuta nacheka bila kupenda hapa nilipokaa,umenikumbusha tukio la kung'ang'aniwa na ngadu kwenye kikojoleo halafu nilikuwa sijaenda jandoni bado.Ilibidi wazee wanikimbize hospitali tu kuondoa mkono wa sweta maana nilikuwa bado sijafikisha umri wa kuingia jandoni..
 
Last edited by a moderator:
He he.......kwa taarifa yenu Moshi hatuna bahari.....mimi ninachojua hapo kuna kichocho.......kama hakuna basi ni huko kwenu......tena muniwache nipumuweeeeee.....khaaaa
 
He he.......kwa taarifa yenu Moshi hatuna bahari.....mimi ninachojua hapo kuna kichocho.......kama hakuna basi ni huko kwenu......tena muniwache nipumuweeeeee.....khaaaa

Heheee. Kuna mito tu sii ndio?
 
Back
Top Bottom