Hao wamevaa pampas kabisa jamani acheni kudanganya watu ,kushikana huko mikono wakapita kwenye maku gani unafikiri mlango wa bar ule?
kule server nlichopenda ni jinsi invisible anavyotusevia vyakula eti anatubembelezea akati tukija huku uraiani anatukoromea .ila Baba V unapenda chicken rollpop na sizzla wewewe mtoto nawe.... Nimemiss vyumba vya server, kama vipi twende japo week moja..
walitokaje tumboni mwa mama yao?