Watoto wa vigogo na ajira BoT

Pamela Lowassa, ni daktari pale Muhimbili.
Mtoe kwenye hiyo List yako feki!
Hiii list siyo ya LEO, ni ya tangu 2008, wewe ndo unatuletea ajira feki ya Pamela, na kama yuko Muhimbili ndiye aliyemfanyia mtu operesheni ya kichwa badala ya mguu.
 
Kwa akili zako za kushikiwa unaaiamini hiyo List ya mjinga mwezio Lizaboni? Is it official?
Wewe uliiamini ukaja mbio kusema pamela yuko muhi2, kwa nini mimi nisiiamini, alafu licha ya nyie kitokimkibali mleta mada, jamaa ni reliable source sana, amegonga kichwa cha nyoka mara nyingi tu humu jf.
 
Musa ALLAN, hiyo list siyo ya leo, ipo tangu 2008.
Watu wengine sehemu yoyote akishatajwa Lowasa wanatumia nguvu nyingi kukanusha. Sijui aliwafanyaje huyu mzee mpaka wangu hata ukweli wanauweka pembeni wakiona jina
 
Wewe uliiamini ukaja mbio kusema pamela yuko muhi2, kwa nini mimi nisiiamini, alafu licha ya nyie kitokimkibali mleta mada, jamaa ni reliable source sana, amegonga kichwa cha nyoka mara nyingi tu humu jf.
mkuu kwa taarifa yako, MUSSA ALLAN alikuwa CCM kwa sababu ya LOWASSA , Mganga njaa wake alivyoondoka akatimka naye. Sijaelewa vizuri huyu ni mtu gani kwa Lowassa, Lowassa akitangaza leo kuhamia UDP au NLD utamsikia huko. Bahati mbaya huwa hana hoja ni mtu wa kukurupuka sana, hiyo list ya LIZABONI ipo tangu mwaka 2008, sasa yeye anakurupuka eti ni feki.
 
Watu wengine sehemu yoyote akishatajwa Lowasa wanatumia nguvu nyingi kukanusha. Sijui aliwafanyaje huyu mzee mpaka wangu hata ukweli wanauweka pembeni wakiona jina
Ni bahati mbaya sana kuwa huwa wanakakanusha bila kuwa na ushahidi wa kile wanachokitetea. Lowassa hana ujanja lazima atumbuliwe tu.
 
Safi, list ya 2008 na watu walihama ila 2016 bado wapo ktk payroll ya 2016 ya bot, wameiba sana aiseeeee!
Ni shiiida, hawa akina MUSSA ALLAN sijui walipewa nini na LOWASSA hata akitembea na mama zao, watamuita baba na kusahau baba zao waliowazaa.
 
Wewe naona unadandia gari kwa mbele, tupishe tujadili mada iliyoko hewani.
Kwa vile we umezoea kudandia magari ndio unadhani kila mmoja kama wewe!? Swali linahitaji jibu Lowassa ndiye mkurugenzi rasilimali watu Wa BoT?
 
...with salute, dear comrade!....tuhuma bila ushahidi ni majungu tu!
 
Kwa vile we umezoea kudandia magari ndio unadhani kila mmoja kama wewe!? Swali linahitaji jibu Lowassa ndiye mkurugenzi rasilimali watu Wa BoT?
Mapovu yote haya kwa sababu mtoto wa Lowassa katajwa? Kwani hiyo list umeona mtoto wa Mkurugenzi wa B.O.T?
 
Mbona watoto wa Nyerere hakuna kabisa, sio tu BOT bali hata sehemu nyeti za serikali.Wao walipatikana Jeshini na wengine sikuwahi wasikia wakifanya kazi inayoeleweka. Mwinyi naona watoto wake woote mashavu tu sehemu nyeti zote serikalini.

We acha mkuu, baraka yakutukazania sisi tuwe wazalendo,wakati huo keki ya nchi wanakula wao,wanetu wanamaliza soli viatu kutafuta kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…