Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,456
- 1,011
sasa kama wamesoma shule za maana kuanziq primary, degree wamechukua usa huko masters uk utataka ushindane nae wewe mtoto wa ifm ?
Usinichekeshe.....
Ahahahah umeua mkuuIko fresh tu, nan alimkataza mdingi wako asiingie kwenye system enzi hizo wenzie wanapigwa umande kwenda skonga yeye anajifanya mjasiriamali wa kuchoma mkaa jion anatesa kijijin kwa vijisent kutesa kwa Zamu, janga alochuma mdingi wako ndo hilo linakupanikisha mpaka unaanza umbeya wa kibwege! Onesha hawana vigezo sio kuleta bla bla, wewe na ki advance chako cha CBE au kidiploma cha Zoom unategemea upigwe na kipupwe cha Twin towers, Peleka CV yako Finca ndo levo zako!
We gamba umeona ndo kigezo cha maana ? Wacha kudharau wa Tanzania wewesasa kama wamesoma shule za maana kuanziq primary, degree wamechukua usa huko masters uk utataka ushindane nae wewe mtoto wa ifm ?
Usinichekeshe.....
sasa kama wamesoma shule za maana kuanziq primary, degree wamechukua usa huko masters uk utataka ushindane nae wewe mtoto wa ifm ?
Usinichekeshe.....
mkuu pamoja na maelezo yako mazuri bado nikukumbushe kuwa vick kamata master hajaipata bado ana vimeo kibao na ubunge umemponza kurudi kufanya vimeo degree alichukua pale sauti hilo halina shaka ila hiyo MBA ya Southampton solent university atasubiri sana haijaipata mpka leo anatakkiwa akafanye dissertation yake, muda mrefu wataumbuka wengi
Katika hii list nawafahamu raia wawili hapo.. Ni magalasa ya kutupwa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Jamani tuache fitna.mtuanasema kigoda kaishiaform four ni miongo.mi nakumbuka nimesoma naye tambaza A level.ila kweli form six alichemsha.huyo mongela si mtoto wa getrude namfahamu sana tom alianzia kazi stanchart.ni majina tu.halafu kinachotakiwa ni kuthibitisha kuwa hawana vigezo kuwa mtoto wa kigogo haikuo
ndolei haki ya kuajiriwa kama una sifa.he sa hao wafanye kazi wapi? Userukamba huo
Ndugu yangu hujui Tu. Hata bima wanayotumia pale Ni Ile ya bei ghali Tu wakati waalimu tunatumia kadi za brown za nhif Wao wanatumia bima ya jubilee.bimaa hiyo inawaruhusu luwaagizia dawa popote duniani kwa bei yoyote Ile.
na kwenda kutibiwa nje ya nchi hii yetu changa.
hii ndo maana pamoja na kamshahara kangu kadogo bado nachangia kwenye kampeni za m4c.
nawamba Watanzania wenzangu wenye uchungu Kama Mimi tuunge mkono chama makini ili tuikomboe nchi yetu kwa kusupport m4c.
Ni kigezo hicho pekee kilichotumika?!
Umeongea mkuu,,,jamaa hawana jipya tena wameuza kila kila kitu.
BOT,TRA,CRDB zote hizo zinawenyewe na wenyewe ni wewe.Pole bwana