Watoto wa 'single mama' kizazi cha Leo kisicho na malezi

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,247
Reaction score
25,188
Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu...

Jamani ukweli acheni na usemwe, kama Kuna watoto ambao hawana maadili huko mtaani basi kabisa ijulikane ni watoto ambao wamelelewa na single mama...

Nasemaje hili kundi la wanawake ambao wamezaa tu bila kuwa na wanaume hao linaharibu jamii.

Sitakaa kimya, maana mnayaona yanayojiri kwenye nyumba za hawa single mama...

Mama anabwana anaingia ndani kwake na mtoto yupo hapo Wala hajali wanafanya yao...

Wanakuwa na upendo uliopitiliza kwa watoto na kuwadekeza kama mayai hawawachapi watoto...

Wanawafanya waone kuwa kipigo fimbo ni kunyanyaswa..

Watoto hawajui wakae na nani wakiume kutwa kukaa na wanawake sababu wanakaa na mama zao muda wote na ushoga nao unaanzia hapo..

Wakike nao wanaona Haina faida ya kuolewa nao wanataka kuwa kama mama zao...

Watoto wanaongeleshwa mambo ya kikubwa na mama zao chuki wanajazwa tokea wakiwa wadogo...kuwa baba yako ni mbaya aliniacha, mama zao wanaongea nao changamoto zao ambazo zinawakuza ilihali ni wadogo...

Kifupi watoto hawasikii huko mtaani watoto walio na tabia mbaya ni wa single mama...

Bado malezi ya baba na mama yanahitajika katika kutengeneza kizazi kijacho...
 
Una hoja nzuri mtoa mada, lakini mbona umekazia Kwa kusema tatizo la mmomonyoko wa maadili Kwa sasa limechangiwa na Watoto waliolelewa ama wanaolelewa na single mothers.

Vipi wale wanaolelewa/waliolelewa na single fathers?

Kwa mawazo yangu, matatizo mengi ya Vijana wetu wa sasa, yamechangiwa na kutowajibika Kwa Wazazi katika malezi.

Tumezidisha uzungu kwenye malezi ya watoto wetu.

Bila kusahau kuzidisha ubusy ambapo Jukumu la malezi ya watoto wetu tumewaachia Dada wa kazi

Yaani Mama anatoka saa 11 alfajiri kurudi saa 3 usiku

Baba naye hivyo hivyo

Jukumu lote la malezi tumemwachia Dada wa kazi
 
Hivi anaye wadanganya kuwa Ushoga unatokana na malezi ya single mama nani? Mnaweza kuwa sahihi ktk mambo mengine, ila sio Ushoga,

Kuna familia ina wazazi wote na wamenyooka, lakini mtoto anakua shoga, na kuna familia ina mzazi m1 huyo mama na hakuna mtoto shoga.

Muwe mnakaa na kujifunza na kuelewa nini maana ya ushoga, muingie ndani zaidi mpate kufahamu ndipo mtajua namna sahihi ya kupambana nao, ila hizi hekaya na mihemko yenu, mtakua mnalia na kupovukwa kila siku, huku huo ushoga ukikua na kuenea kwa kasi ya 7G.

Yaan mkikaaa huko kwenye vikao na vijiwe vyenu mnalishana matango pori kuhusu ushoga, Lol
Poleeeniiiii.
 
Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu...

Jamani ukweli acheni na usemwe, kama Kuna watoto ambao hawana maadili huko mtaani basi kabisa ijulikane ni watoto ambao wamelelewa na single mama...

Nasemaje hili kundi la wanawake ambao wamezaa tu bila kuwa na wanaume hao linaharibu jamii.

Sitakaa kimya, maana mnayaona yanayojiri kwenye nyumba za hawa single mama...

Mama anabwana anaingia ndani kwake na mtoto yupo hapo Wala hajali wanafanya yao...

Wanakuwa na upendo uliopitiliza kwa watoto na kuwadekeza kama mayai hawawachapi watoto...

Wanawafanya waone kuwa kipigo fimbo ni kunyanyaswa..

Watoto hawajui wakae na nani wakiume kutwa kukaa na wanawake sababu wanakaa na mama zao muda wote na ushoga nao unaanzia hapo..

Wakike nao wanaona Haina faida ya kuolewa nao wanataka kuwa kama mama zao...

Watoto wanaongeleshwa mambo ya kikubwa na mama zao chuki wanajazwa tokea wakiwa wadogo...kuwa baba yako ni mbaya aliniacha, mama zao wanaongea nao changamoto zao ambazo zinawakuza ilihali ni wadogo...

Kifupi watoto hawasikii huko mtaani watoto walio na tabia mbaya ni wa single mama...

Bado malezi ya baba na mama yanahitajika katika kutengeneza kizazi kijacho...
Nakupenda wewe mdada. Kama una nduguyo niunganishe nae.😊😍
 
Kwa kweli ni janga. Kuna haja kwa jamii kuliangalia kwa umakini. Watoto hasa wa kike ndio wanaoathirika kimaadili na kisaikolojia. Ndio hao wengine wanajianika dating sites wakijiuza.
 
Hivi anaye wadanganya kuwa Ushoga unatokana na malezi ya single mama nani? Mnaweza kuwa sahihi ktk mambo mengine, ila sio Ushoga,

Kuna familia ina wazazi wote na wamenyooka, lakini mtoto anakua shoga, na kuna familia ina mzazi m1 huyo mama na hakuna mtoto shoga.

Muwe mnakaa na kujifunza na kuelewa nini maana ya ushoga, muingie ndani zaidi mpate kufahamu ndipo mtajua namna sahihi ya kupambana nao, ila hizi hekaya na mihemko yenu, mtakua mnalia na kupovukwa kila siku, huku huo ushoga ukikua na kuenea kwa kasi ya 7G.

Yaan mkikaaa huko kwenye vikao na vijiwe vyenu mnalishana matango pori kuhusu ushoga, Lol
Poleeeniiiii.
Kisababishi always sio kimoja. But single mothers ni moja ya cause ya ushoga.

Hope umeelewa.
 
Hili ni janga kubwa saaana.
Na tatizo kubwa kwa nchi yetu hii kila mtu hujiamulia maisha yake vile inampendeza, hatuna common consensus ya namna ya kuitengeneza jamii, ili kujenga aina ya rasilimali watu wenye tabia fulani kwa miaka inayokuja
 
Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu...

Jamani ukweli acheni na usemwe, kama Kuna watoto ambao hawana maadili huko mtaani basi kabisa ijulikane ni watoto ambao wamelelewa na single mama...

Nasemaje hili kundi la wanawake ambao wamezaa tu bila kuwa na wanaume hao linaharibu jamii.

Sitakaa kimya, maana mnayaona yanayojiri kwenye nyumba za hawa single mama...

Mama anabwana anaingia ndani kwake na mtoto yupo hapo Wala hajali wanafanya yao...

Wanakuwa na upendo uliopitiliza kwa watoto na kuwadekeza kama mayai hawawachapi watoto...

Wanawafanya waone kuwa kipigo fimbo ni kunyanyaswa..

Watoto hawajui wakae na nani wakiume kutwa kukaa na wanawake sababu wanakaa na mama zao muda wote na ushoga nao unaanzia hapo..

Wakike nao wanaona Haina faida ya kuolewa nao wanataka kuwa kama mama zao...

Watoto wanaongeleshwa mambo ya kikubwa na mama zao chuki wanajazwa tokea wakiwa wadogo...kuwa baba yako ni mbaya aliniacha, mama zao wanaongea nao changamoto zao ambazo zinawakuza ilihali ni wadogo...

Kifupi watoto hawasikii huko mtaani watoto walio na tabia mbaya ni wa single mama...

Bado malezi ya baba na mama yanahitajika katika kutengeneza kizazi kijacho...
Bora useme wewe mwanamke mwenzao huenda wakakuelewa..
Single parent ya kudhamiria ni shida sana.
 
Kisababishi always sio kimoja. But single mothers ni moja ya cause ya ushoga.

Hope umeelewa.
Ninakataa!! Almost mashoga wengi ni hawa walio na wazazi wote wawili.

Single mama sio cause ya ushoga, hili nitapinga hadi mwisho wa dahari, labda kwa mambo mengine ni sawa mtakua sahihi kadri ya maono yenu, ila kwenye ushoga, hapa hapanaa.
 
Hivi anaye wadanganya kuwa Ushoga unatokana na malezi ya single mama nani? Mnaweza kuwa sahihi ktk mambo mengine, ila sio Ushoga,

Kuna familia ina wazazi wote na wamenyooka, lakini mtoto anakua shoga, na kuna familia ina mzazi m1 huyo mama na hakuna mtoto shoga.

Muwe mnakaa na kujifunza na kuelewa nini maana ya ushoga, muingie ndani zaidi mpate kufahamu ndipo mtajua namna sahihi ya kupambana nao, ila hizi hekaya na mihemko yenu, mtakua mnalia na kupovukwa kila siku, huku huo ushoga ukikua na kuenea kwa kasi ya 7G.

Yaan mkikaaa huko kwenye vikao na vijiwe vyenu mnalishana matango pori kuhusu ushoga, Lol
Poleeeniiiii.
Pole. Achana na ushoga siyo mzuri na haimpendezi Mungu wala wanadamu
 
Hayo ni malezi ya wamama wa uswahilini hata wakiwa kwenye ndoa zao kwa aliyeishi uswazi ataelewa lakini umkute mama kutoka Kanda ya ziwa analea watoto peke yake hawezi kufanya huo upuuzi hata siku moja...
 
Back
Top Bottom