Watoto wa siku hizi hawajui michezo hii

Watoto wa siku hizi hawajui michezo hii

hiyo sie tulikuwa tunaita nduti,ulikuwa unainoa ile mbaya alafu mnaingia kwenye game yakukatiana kamba
 
Umenikumbusha mbaaaaaaaaaaaaaali.....Jamaa yetu tukicheza kumbolela kumtafuta hadi giza ila kumbe wanapotea wawili.
 
Mbona unataja mitengu (Mabasi) ya njia ya safari za kusini mkuu? aaah hayo majina unanikumbusha mbali, kulikua na Ilanga moto, Ruvuma line, Twiga, Tawaqal, Kiswele (hii ilikua na injini nyuma) achana nayo kabisa.... I miss those days wakati nasoma mkuu.
I miss those days pia mkuu.............nimezaliwa Iringa na kukulia hapo Mkuu
 
....

....tulikuwa tunaweka kwenye reli ...kikitoka hapo jambia mwanafunzi !!!
 
Lazima uliishi mbeya wewe.
Ni Kweli Mkuu, nimezaliwa Iringa nimekulia hapo, darasa la 5 tukahamia Mbeya tulikuwa tunakaa Forest ya zamani opposite na Makubi Tution, karibu na Mahakama Kuu kwa chini kuna kanisa la lutheran
 
Kusukuma matairi ya gari au ring za tairi za baskeli mtaani.
 
Yaani jana mtoto wangu ananisumbua nimfungia kisude ivyo nazani msimu wake umerudi
 
I miss those days pia mkuu.............nimezaliwa Iringa na kukulia hapo Mkuu
Dah! shukrani sana kaka, nilisoma Ifunda Technical, sasa pale kibaoni kuna kipindi mnaenda kuangalia mabasi (Mitengu) tu ilikua burudani kweli ila ole wako usiwe na nauli......hii ilikua inaitwa kulazwa!
 
Back
Top Bottom