Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,714
Daah kitambo sana!!
Daahh siku nyingi sana, nakumbuka ndude (Kisoda) yangu nilikuwa naiita Kiswele, wengine utasikia igesa line, wengine tawaqali mara matema
pia kulikuwa na boomerangView attachment 254425
nimecheza sana huu mchezo hadi kushindanisha wawili wawili mnapigana mpaka mmoja kamba ikatike.
Watoto wa siku hizi hawajui hata kuwinda ndege na kuvua samaki.michezo ya kibaba baba na mama mama wanacheza na house girls na shamba boys.
mwanangu umenikumbusha mbali sana yaani. nimecheza sana michezo hii pamoja na kupiga pia ile pyramid unayoipiga chini na kuzunguka. ila sitasahau siku iyo kamba ilipokatika kifundo kikarukia kwenye macho, almanusura king'oe jicho, nilipiga kelele kama nimeng'atwa na simba.View attachment 254425
Nimecheza sana huu mchezo hadi kushindanisha wawili wawili mnapigana mpaka mmoja kamba ikatike.
Watoto wa siku hizi hawajui hata kuwinda ndege na kuvua samaki.Michezo ya kibaba baba na mama mama wanacheza na house girls na shamba boys.
Daahh siku nyingi sana, nakumbuka ndude (Kisoda) yangu nilikuwa naiita Kiswele, wengine utasikia igesa line, wengine tawaqali mara matema
niliwahi kuibiwa usafiri wangu wa namna hii...niliuacha nje jamaa akaja na ufunguo wake akasepa!
niliwahi kuibiwa usafiri wangu wa namna hii...niliuacha nje jamaa akaja na ufunguo wake akasepa!
View attachment 254425