Watoto wa siku hizi hawajui michezo hii

Watoto wa siku hizi hawajui michezo hii

Huo mchezo niliacha kuucheza mwaka 1972 baada kujikata.....mpaka leo nina kovu kwenye ulimi.....
 
Hii ilikua inaleta raha unakuta kaptula ni over size kidogo kwa hiyo inabidi mkono mmoja uwe kiunoni kuzuia kaptula isidondoke huku mkono mwingine ndio unaendesha chombo!

haaahaaa.mwanangu umenikumbusha mbali sana,piga picha umetumwa hapo kwa mangi,muha au mpemba ukanunue unga robo alafu mother kakusisitiza na chenchi irudi
 
haaahaaa.mwanangu umenikumbusha mbali sana,piga picha umetumwa hapo kwa mangi,muha au mpemba ukanunue unga robo alafu mother kakusisitiza na chenchi irudi

Aha! hapo chenji itarudi ila unga au sukari ilikua ni hati hati...........
 
Raha yake uwe umevaa kaptula za khaki zenye suspender, ngumu kuchoropoka. Kaka yangua alipata head on collision na mwenzake katika pembe ya darasa wote wanaendesha maringi. Kaka alikatika jino moja la mbele nusu, hadi uzeeni mwake hasahau tukio hilo.
 
View attachment 254425

Nimecheza sana huu mchezo hadi kushindanisha wawili wawili mnapigana mpaka mmoja kamba ikatike.
Watoto wa siku hizi hawajui hata kuwinda ndege na kuvua samaki.Michezo ya kibaba baba na mama mama wanacheza na house girls na shamba boys.

Dah unenikumbusha kitambo sana miaka ya 80's hadi tunakatana vidole ni jukumu letu sis wazazi kuwafundisha watoto wetu manake si rahis wakajua tu pasipo kuwafundisha.
 
Raha yake uwe umevaa kaptula za khaki zenye suspender, ngumu kuchoropoka. Kaka yangua alipata head on collision na mwenzake katika pembe ya darasa wote wanaendesha maringi. Kaka alikatika jino moja la mbele nusu, hadi uzeeni mwake hasahau tukio hilo.

hahahahah kitambo sana kuendesha maringi
 
Nani acheze mchezo huo siku hizi ni maplastation 3,4 mapsp mapc game ndo yana chati wataki uo mchezo
 
Back
Top Bottom