Yaani ni kama ulikuwa kwenye ubongo wangu maana nilikuwa najiuliza hivi kwa nini ndugu zetu wa kiasia wanaojiita watanzania wao wamejenga shule shule zao na katika shule hizo wanasoma watoto kiasia tu pasipo kuwa na mchanganyiko wa kabila zingine za kiafrika. Kwa nini hali hii imelelewa wakati tunasema nchi hii inawajenga watu wake katika misingi ya usawa? Huu si ubaguzi? Mbona hata wazungu wakijenga shule zao wanaruhusu watoto wa mataifa mengine kujiunga na shule zao?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.