Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
kuanzia Nairobi, Machakos, Mombasa, Malindi, Thika, Nakuru, Eldoret etc kila unayemuona mzuri
Mh!hilo litakuwa linawasisimua sana wazee wa bandari!Nimependa hilo pozi la pisha nijambe.
Mtaani ndiyo maeneo tunayoishi,labda huko jolly club sijafika!wengi niliyokutananao mimi ni wa kawaida sana!hujaona totoz za kibongo wewe! Sio wale wanajiuza kwenye bongo movies au bongo flavor no! Pita tu kitaani utawaona wanavyowaka
Sijui mimi ni mbaguzi au vipi,sijawahi ona mwanamke mzuri kuzidi mwanamke wa kiTanzania pamoja na kutembea karibu dunia yote...
Haaaaahaaaaaaahaaaaaaaa pole sana mkuu,hata kwenye magazeti hujawahi kuwaona jamani basi kweli we una mkosi,afu kwanza ushazunguka wapi na wapi weye??Ila ongeza kuzunguka utawaona tuuu.Mkuu labda mimi sina bahati,maana nimezunguka sana lakini kwa bahati mbaya sijawahi kuona,mimi nakutana na mipoyoyo tu!