Watoto wa pande za Kibaki Kenya hakunaga, warembo kupitiliza

tembea uone,tuwasiliane nikutembeze kwa gharama uone,kenya wanatisha pia kwa watoto,pia pande za bahir dar na addis ababa,na ukija asmara watoto mashalah



Ndio maana nikasema sijui tatizo langu ni ubaguzi au nini,nimetembea karibu dunia nzima lakini sijaona bado mwanamke anayeweza kuiteka akili yangu kama mwanamke wa kiTanzania .....

 
Last edited by a moderator:
Kwa ukweli,

Sub sahara hakuna watoto wazuri kama wa kitanzania tumezidiwa na Botswana na kidogo South Africa. Lakini
hakuna nchi nyingine inatuzidi kwa waliotembea nchi nyingi wanaweza thibitisha hilo.

West Africans, Central and Southern Africa wanatamani saana kuja kuoa Tanzania. Ni wanaume wachache saaaaaaana wanaotoka East Africa wanaotamani kuoa kwa wapopo na nchi nyingine sababu

  1. Dada zetu wa kibongo ni warembo no doubt.
  2. Dada zetu wana upendo wa kweli tofauti na wenzetu PESA na JUJU mbele
  3. Dada zetu ni True African kwa maana wana african feminine hata kama wanaishi nje ya Africa
 
Ebana huna vipicha vya yule avril cjui kalivyokuwa kanatomaswa na na kadem kenzie
 
Mh!itabidi nitafute uraia wa Kenya!

we bro east afrka nzima bongo ina watoto 4 real watanzania wanajua kuzaa queens, hebu njoo arusha bwana dah huwa nawaza ina maana arusha haina uswaz kutoa watoto wabaya?
 
Nyinyiiii! Njoono kwa madiba muone, dem ninae gonga mm muhuni bongo ata fisadi atongoi chenzea masena, maxangano, mazulu cjagusa watoto chotara bondeni noma ila tatizo ukimwa2...bomqqqqq
 
Nyinyiiii! Njoono kwa madiba muone, dem ninae gonga mm muhuni bongo ata fisadi atongoi chenzea masena, maxangano, mazulu cjagusa watoto chotara bondeni noma ila tatizo ukimwa2...bomqqqqq

mkuu weka picha yake
 
sijui mimi ni mbaguzi au vipi,sijawahi ona mwanamke mzuri kuzidi mwanamke wa kitanzania pamoja na kutembea karibu dunia yote...
tanzania unapata kila dizaini uitakayo kwa mseto wowote kaka ila usishangae wanaume hupagawa kwa kuona.
 
Haaaaahaaaaaaahaaaaaaaa pole sana mkuu,hata kwenye magazeti hujawahi kuwaona jamani basi kweli we una mkosi,afu kwanza ushazunguka wapi na wapi weye??Ila ongeza kuzunguka utawaona tuuu.
Mimi nimezunguka mikoa yote kasoro mkoa wa kagera!
 
Mhh kwa Kibaki..? Nna mashaka! Mleta Uzi hivi kweli ushawahi kuwaona mademu wa pande hiyo kweli...?!
 
Hata mimi pia, nimezunguka sana kwa kibaki na sijaona wa kufanana na hao, wote ni sura mbaya, kidogo nilikuta mombasa lakini si unajua wale wamechanganya blood.
 
Hata mimi pia, nimezunguka sana kwa kibaki na sijaona wa kufanana na hao, wote ni sura mbaya, kidogo nilikuta mombasa lakini si unajua wale wamechanganya blood.

wewe ilizunguka kibera tu,mimi uwa naenda sana kenya kuna watoto wazuri sana
 
Mhh kwa Kibaki..? Nna mashaka! Mleta Uzi hivi kweli ushawahi kuwaona mademu wa pande hiyo kweli...?!

natoa kitu ambacho nina uhakika nako sehemu kubwa sana ya kenya nimefika,kuanzia busi,bungoma,eldoret,nakuru,nairobi,nyeri,machakos,mombasa,kilifi pwani uko,malindi,nyeri,embu etc
 
Usiidharau kibera wewe, kuna watoto wazuri ambao hawajaharibiwa na vipodozi. Huwa nikitoka nje ya A town sionagi wathupu. in east africa Arusha ndio kuna watoto, hao wengine ni wakuchora na vipodozi.
 
Back
Top Bottom