Watoto wa NK ,Bora Kim Alivyoomba Po Tu Na Trump Wayamalize!

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,556
12,675
Vikwazo Bhana!!!
Kim wakishayamaliza na Trump huenda hawa watoto wakapata midoli ya kuchezea kama watoto wengine duniani:D:D:D;):)
FB_IMG_1527600852267.jpg
 
Mbulula kwel....
Watoto wanafuraha kwenye nchi yao tena wanatumia kila kitu cha kwao hadi camera iliyo tumika kupiga hiyo picha utawafananisha na watoto wa somalia kweli wanaopelekewa misaada na kugombanishwa wenyewe kwa wenyewe.
 
Back
Top Bottom