Watoto wa Mugabe waliovurugwa.....!!!!

Watoto wa Mugabe waliovurugwa.....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Robert Jr. Na Bellarmine Chatunga, watoto wa his Excellency Mugabe. Picha linaanza chatunga alifeli grade 7 halafu akadifferentiate constant 'o levo. Ndio last born Huyo.
uploadfromtaptalk1464601857717.jpg
uploadfromtaptalk1464601867081.jpg
uploadfromtaptalk1464601876644.jpg
uploadfromtaptalk1464601883353.jpg
uploadfromtaptalk1464601891136.jpg
uploadfromtaptalk1464601897823.jpg
uploadfromtaptalk1464601903841.jpg
uploadfromtaptalk1464601909667.png
uploadfromtaptalk1464601915621.jpg


http://allafrica.com/stories/201503080345.html
 
Picha ya kwanza hao waliovaa suti,wa nyuma ni Ke au Me?
 
Mshua anatakiwa alinde image yake mwenyewe
Hapana mkuu, letsay RJK angekua anafanya mambo ya ajabu unadhan mzee wa Mkuranga angeish kwa amani? Si unakumbuka tu kale ka skendo ka dogo mwana ku-differentiate constant 'o' levo?
 
Hawa watoto ni ME ila hiyo picha ya kwanza hayo makoti yao vishikizo vilivyo kama makodi ya KE? au ni image inversion?
 
Ndivyo tulivyo Africa kama mzee muheshimiwa na mtoto ......
 
Back
Top Bottom