Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,435
- 1,967
kabisa jamani si Le mtushuyo?huyo bonge mwenye shati jeupe anafanana na Le Kingzz
kabisa jamani si Le mtushuyo?huyo bonge mwenye shati jeupe anafanana na Le Kingzz
Naona atakuwa anawakilisha taifa nchi za njekabisa jamani si Le mtushuyo?
Was it necessary for u to comment mkuu? Messing with the mayne you can be the mayne's dinnerinatuhusu nn au nawe wataka kuwa mtoto wake
Mzee amejiestablish China alreadyNgoja mzee wao ang'atuke huko majuu ndo watauona na kusoma namba. Watakua kama asaad wa Egypt
Ngoja mzee wao ang'atuke huko majuu ndo watauona na kusoma namba. Watakua kama asaad wa Egypt
Mzee amejiestablish China already
Huyu jamaa ata nchi nyingine walivyomuekeaga economic barriers still China na baadh ya nchi nyingine zaki-komunisti waliendelee kumpa supportUnadhani China hua na msaada Mkuu. Muulize gadafi habari anayo
Au kama watoto wa Gaddafi wa IraniNgoja mzee wao ang'atuke huko majuu ndo watauona na kusoma namba. Watakua kama asaad wa Egypt
Meeh?Ugali huzaa mavi
Ni kwel kabisa mkuukwa akili za kipuuzi za viongozi wa afrika, baba hakawii kupigana huyo bashite aongoze nchi hapo baadae..
hata jali alipata bashite, yeye kwake kuweza kusoma na kuandika ni ushindi tosha.