Watoto wa Mubarak waligombana kabla ya baba yao kusoma hotuba! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto wa Mubarak waligombana kabla ya baba yao kusoma hotuba!

Discussion in 'International Forum' started by Askari Kanzu, Feb 14, 2011.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Alaa, Gamal Mubarak argued during dad’s final speech

  436x328_86829_137490.jpg
  A heated argument broke out between Alaa and Gamal Mubarak, the two sons of the former Egyptian president, inside the presidential palace last Thursday during the recording of their father's last speech to the nation, Egypt's government owned al-Akhbar newspaper reported on Sunday.

  Hosni Mubarak reportedly was supposed to announce his resignation in a speech that the military sent to him on Thursday but his son Gamal and senior officials in his entourage pressed him to deliver a different speech in which he insisted on staying in power until September.

  During the recording of the speech Gamal and Alaa engaged in a heated argument that almost developed into a fight. According to the report, Alaa accused Gamal of dragging the country into corruption by helping his friends in the business industry climb the echelons of political power.

  "Instead of working to help your father be honored at the end of his life, you helped damage his image this way,"
  Alaa reportedly told his brother Gamal, who was the head of the ruling party's policies committee.

  The argument was so loud that almost everyone in the palace heard them, the newspaper reported, adding that some senior government officials interfered to calm them down.

  The newspaper said Gamal lost his temper after he heard the recording of the speech that his father was supposed to deliver that night and in which he was going to declare stepping down.

  According to the report, American officials were aware of that recording but they did not know that Gamal had prompted his father to discard it and record a different speech, which was delivered that night.

  Earlier in that day U.S. President Barack Obama had told an audience in Michigan that "we are witnessing history unfold," a sign that Mubarak was stepping down. Hours later, President Obama heard something perplexing: Mubarak was not quitting. Obama apparently did not know that Mubarak’s resignation speech was discarded by Gamal in the last minute.

  The report cited a senior Egyptian government official saying that Mubarak often refused to listen to "sound advice" from his aids, taking briefs almost entirely from Gamal, who had often downplayed for him the uprising in the country.

  During his last days in office Mubarak became almost politically isolated, often making concessions when popular demands had already gone higher.
  Source: Al Arabiya
  (Translated from Arabic by Mustapha Ajbaili)
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ahsante,
  Yaonyesha dhahiri huyo mwanae Alaa walau kidogo ana ustaarabu kuliko Gamal, maana ukiangalia ushauri aliotoa kwa mujibu wa makala hiyo yadhihirisha ni mtu mwenye mlengo wa kushoto kidogo.
   
 3. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  duh kazi ilikuwepo.
  Ndio maana hata mimi nilishangaa sana maana taarifa za CIA zilikuwa zimeshazibitisha kuwa jamaa anaachia madaraka baada ya kukutana na jeshi la Egypt, cha kushangaza tukaona jamaa amekataa tena..duh kumbe Gamal alikuwa nyuma yake?
  Angeliachia madaraka mapema si angejipatia heshima yake vizuri tu , ona sasa jamaa amesha-collapse yuko hospitalini.
  Mtoto wake amemwaribia kila kitu.Kumbe alimchakachua baba yake kiasi hicho? so sad
  Haya ndiyo tunayoyasema na Kikwete aachanisha madaraka na familia yake, maana tunaona kila kitu kinafanywa na familia yake hata washauri wake hawasikilizwi.
  Hawa ndio wakuwa anzia, hakuna kuwabakiza.
   
 4. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  :msela:WOTE MAJASUSI HAO , HAKUNA CHA ALLLAAAA, GAMAALLL WALA MUBARAK .

  WOTE WA KUNYONGA NA KUWAFILISI MALI ZAO.

  HAKUNA MWEMA KATI YAO WANAJARIBU KUJISAFISHA.

  WALITAKIWA WAMSHAURI BABA YAO MAPEMA KABLA MAMBO HAJAYATIBUA.

  KWA MIAKA 30 WOTE WAMEFAIDI MATUNDA YA BABA YAO NA KUJILIMBIKIZIA UTAJIRI WA AJABU.

  WANYONGWE WOTE HADHARANI, HAKUNA CHA ALAA, GAMAL WALA MUBARAK:msela:
   
 5. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Hapa ndio inabidi kumuonya Ridhiwani awe anampa baba yake ushauri unaoendana na wakati!
   
 6. shanature

  shanature JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 718
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  wanyongwe kwani hao ndo walioiba,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,?baba yao hajasemwa kuiba pia,,,,,,,alafu wao wamisri ndio waliomweka madarakani na ndio waliomwondoa,,,,,,,,,,,,,,,,,,YA KWETU HAPA YAMETUSHINDA,,UMEME MAFUTA JUU,,,,HAKUNA HATA KUMFUNGA KAMBA PAKA
   
 7. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mi nachukia tu wamarekani kwa kujipendekeza, Wanataka kuchukua point kwa kila jambo.
  Kwa nini Obama awahi kutoa siri eti we are witnessing history unfold, kwa nini asingeacha tuu mambo yajipe yenyewe. Mi nilifurahi kiasi fulani alivyowaprove wrong katika intelejensia yao, hata kama yalifanyika mabadiliko dakika za mwisho.
   
 8. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Sio kumpa ushauri tu. Ridhiwani si elected official kama alivyokuwa Gamal. Matokeo yake ni kwamba atakuwa anampotosha tu baba yake. Madikteta hawajifunzi. Kwani Moi watoto wake walimpa ushauri gani alipokuwa Ikulu? The moral of the story ni kwamba si jambo jema kuihusisha familia yako katika kazi ambazo hawakuchaguliwa na umma.
   
 9. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Gamal ndiye aliyekuwa anajiandaa kurithi kiti cha dhahabu...unategemea nini sasa? Lazima atumie misuli kuona azma yake inakamilika.
   
 10. T

  Topical JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Go hell mubarak, kibaraka wa wazungu..umewatesa sana watu wako ..aibu tupu
   
 11. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Yote ninakubaliana nawe isipokuwa hilo la wamisri kumuweka madarakani Mubarak. Alijiweka mwenyewe kwa mtutu wa bunduki.
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Mhhhhh
   
 13. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,607
  Trophy Points: 280
  Nashangaa sanaa Gamal ni sawa kabisa na RZ1...kumbe ndio fashion kuingilia na kuwa ubia wa urais???
   
 14. e

  ejogo JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2011
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  No I understand kwanini ile speech ilichelewa kwa takriban lisaa limoja!
   
 15. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hii ndiyo imekuwa kawaida ya watoto wa viongozi kujisahawa na kufikiri na wao ni viongozi wa nchi!kwa mfano Uday na Qusay walifanya watakavyo wakati wa utawala wa Sadaam Hussein wa Iraq.
   
 16. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #16
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hii inanikumbusha enzi za Uday & Qusay the two sons of the late Saddam Hussein walivyokuwa wakiogopeka pale Iraq. Egypt napo ndio yaleyale mh!
   
 17. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #17
  Feb 15, 2011
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwani raisi si anawashauri wa kila jambo wanaolipwa kwa hela za walipa kodi wa Tanzania pale ikulu. sasa ushauri wa Ridhiwani ni wa nini???. Kama sio kuzidi kumwaribia baba yake tu.
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,859
  Trophy Points: 280
  Sijui Ridhiwani wetu atagombana na yupi...Miraji?
   
 19. s

  sanjo JF-Expert Member

  #19
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hayo ni matokeo ya ukosefu wa utawala wa sheria. Watawala na jamaa zao wa karibu, hujiona ndio wenye wana hati-miliki ya nchi.
   
 20. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #20
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hivi jk ni kibaraka wa nani tena?
   
Loading...