Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,070
Wote Dar mlioko ni Walowezi tu!!!! Wenye Dar asili hapa JF hawapo. Kwa kuwa baba yako au mama yako au uncle aliawhi kuja dar kufanya kazi, biashara, kusoma au ukuli kule bandarini na ukapata bahati ya kuzaliwa hapa Dar halafu unajidai kujiita eti mtoto wa mjini Dar???. Sheet. Huo utoto wenu wa mjini umesaidia nini taifa la Tanzania?? Kwa kujua kwako vijiwe vya chai, chapati na pilao ni kitu tumbo tuu. Leteni issue muhimu hapa. Hatuna njaa hapa. No any entertainment here, I rather call it ni kutaka kuwatukana wengine hapa. Sisi sote ni watanzania na heshima aliyojengeka iheshimiwe. We do not need classes/strata here. Kama unataka strata nenda India na kwingineko. Mods sorry sijawahi kuchangia kwa hasira kiasi hiki. Huwa nina busara, nimejaribu kupitia thread yote post ya kwanza hadi ya mwisho, sijafurahia hizi post za the so called watoto wa dar. So what!!!!!!??? Pongezi kwa wale wote waliochangia kupinga hoja hii ya Watoto wa njini Dar, to hell with it.
Prove acha kufikilia wanavyofikilia wengine (whatever that means). Utatoaje fact ble proof, achana na guess work na mabo ya kufuata mkumbo. Utajikuta chooni siku moja.
Kama sio fact then futa kauli yako ful stop!
Sionona sasa wote mna sentimental problem ............tutawatofautishaje!?
And is the fact!
Unaita guess work sisi tunaita proof by induction.
So what you stand depends on where you sit,and how you define !
mkulu,
dar haiwezi kuwa dar kama hujala pilau (chakula,sio ile nyingine) ya butiama restaulant,
toka miaka ya 70 pilau inatest ile ile .
..wazee lile pilau la butiama liacheni vile vile...yaani pale kinachonifurahisha haata ukienda asubuhi saa 12 ..pila limeshaiva na ni la moto ....hadi saa sita usiku..lipo..pilau kwa maziwa ya mgando!!!...pilanu ngombe au mbuzi!!!
...nani hapa kala biriani la pale kitumbini.....biriani kwa kondoo..
..halafu nani hapa alishakula kwenye shughuli ...pilau mbuzi ...ya jamaa wa pale bungoni ilala ...wale unawakodisha wanakuletea .....
...pia kulikuwa na wapishi wengine maarufu wa pilau kariakoo kama kweenye mgahawa wa alwatan ..almarhum..amiri ali bamshawi....
Sionona sasa wote mna sentimental problem ............tutawatofautishaje!?
And is the fact!
Unaita guess work sisi tunaita proof by induction.
So what you stand depends on where you sit,and how you define !
Bila kumsahau Ali Mapilau wa pale Msikiti wa Tambaza.
Kama huna cha kuandika kalale, na hiyo nayo utaaita hoja. Toka lini ukawa mtaalam wa kusoma sentiments humu. Naomba nithibitishie kuwa nina hayo majina mawili. Vinginevyo tuchukue hatua zaidi. It is disgusting now! Wewe ulishawahi nisikia nikamshuku fulani ndio fulani hapa? au nilishawahi kukushuku kuwa wewe ni fulani? Umeregister hapa kuchagia hoja au kuchunguza who is who? Stop it!
Mama kasema yeye sio Mwafrika. Umetoa maelezo yako ya kwanini na amesema sio yeye,
Sasa kama hakuna proof zaidi ya yanayozungumza, then its best ku-drop this.
Anything more, is harrassment.
You need a proof ,i did " proof by induction "
Unauliza toka lini nikawa mtaalam wa kusoma "sentiments" jibu lake ni kuwa mtu yeyote mwenye akili akili timamu tu unaweza kufanya hivyo.
Since by definition sentiment is a thought, view, or attitude, especially one based mainly on emotion instead of reason.
And you proved to be so.
Unauliza nime register kuchangia hoja au kujua nani ni nani,jibu kuchangia hoja na moja ya hiyo michango yangu ni hii naichangia ambayo sio mimi nimeleta ila nilikuwa nachangia alichosema mjumbe mwingine.
"Vinginevyo mchukue hatua zaidi "umesema !Ipi ? kwa lipi? kweli ww na huyo judge mtakuwa sio.
Na mimi nasema reality never change,kama sio yeye sio na kama ndiyo ndiyo.
I'm not make a big deal about this wala mimi hainisumbui .
..halafu nani hapa alishakula kwenye shughuli ...pilau mbuzi ...ya jamaa wa pale bungoni ilala ...wale unawakodisha wanakuletea .....
Hivi LeanBack anatokea shamba gani...?
Mawazo yangu yalikuwa ni la KoroshoLa karafuu......
..wazee lile pilau la butiama liacheni vile vile...yaani pale kinachonifurahisha haata ukienda asubuhi saa 12 ..pila limeshaiva na ni la moto ....hadi saa sita usiku..lipo..pilau kwa maziwa ya mgando!!!...pilanu ngombe au mbuzi!!!
...nani hapa kala biriani la pale kitumbini.....biriani kwa kondoo..
..halafu nani hapa alishakula kwenye shughuli ...pilau mbuzi ...ya jamaa wa pale bungoni ilala ...wale unawakodisha wanakuletea .....
...pia kulikuwa na wapishi wengine maarufu wa pilau kariakoo kama kweenye mgahawa wa alwatan ..almarhum..amiri ali bamshawi....
Na mimi nasema reality never change,kama sio yeye sio na kama ndiyo ndiyo.
I'm not make a big deal about this wala mimi hainisumbui .
Ukifuatilia vizuri vizuri jinsi michango inavyotolewa kwenye thread na aina respond ,reaction kutoka kwa MKW na Mama unaweza kushawishika kuwa MWK ndiye Mama.
Kama wataalamu wa maandishi wanavyo fikia tamati ya kufananisha mwandiko ,signature na kusema walichafikia tamati basi na mimi naweza kusema kuna uwezekano mkubwa MWK ndiye Mama.Na hii si lazima iwe kweli ,ukweli unabaki palepale.
some sentimental!
Sionona sasa wote mna sentimental problem ............tutawatofautishaje!?
And is the fact!
Unaita guess work sisi tunaita proof by induction.
So what you stand depends on where you sit,and how you define !
Somebody needs an english course to begin with....
I am not make?!!!!???//