Watoto wa mama salma,noumar sana.

Watoto wa mama salma,noumar sana.

Bwa mdogo umeandika kwa hisia hadi ukapoteza muelekeo. Vip umewekeza kwa msomi? ndio mnayotaka siku izi si mnaoa degree hahahhahaaa poleni sana hasa wale wazinzi mtapewa darasa sana na wadada wa vyuo
 
Natoa ushauri nasaha,vijana wenzangu,mliyopo kwenye ajira yoyote ile,iwe ya self-employment or employed,fanyeni kazi kwa bidii mjenge maisha yenu ya baadae,msiumize akili kwa wanawake hasa wale wanaojiita"wasomi"vyuoni hapa dar.mabinti hawafai kabisa,yaani bora upige masturbation au kulala na wahaya.Nina sababu nyingi tu za kuandika haya ninayoandika,ila nitasema sababu chache tu za kwanini nimeamua kuandika na kupeana kama si kubadirishana mawazo.Jamani mabinti wa vyuo takribani vyote hapa dar ni vipandikizi,idadi chache tu za "wasomi"wa vyuo vyetu hapa dar ni hatareeee....!usije ukajifanya mjanja kumiliki madent wa chuo,wamegeuza wanaume kama investment fulani hivi.Si ajabu kuona au kusikia binti wa chuo anamiliki zaidi ya wanaume kumi na zaidi.kila mwanaume hapo anamajukumu yake kwa binti huyu,a.k.a msomi.kwanza,kuna BODABODA,ambaye hufanya kazi ya kumtoa sehemu moja hadi nyingine "bila malipo yoyote",pili,PEDESHEE,huyu hulipa school fees na ma2mizi madogomadogo,bila kumtoa out mtoto,a.k.a msomi siku za wikiendi,tatu....MALIZIA NA NINYI VIJANA WENZANGU WENYE UFAHAMU NA HAWA MABINTI WA VYUONI.

Katika yote hayo Mama Salma anahusika vipi?
 
Back
Top Bottom