Watoto wa Madonna walioasiliwa

crome20

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
1,168
779
Madonna+David+Banda+Mwale+Ciccone+Ritchie+zSB1Xf_A3BMl.jpg Madona akiwa na Banda
BANDA & MERCY.jpg Madonna na Banda & Mercy
BANDA.jpg banda


Hivi wazazi wana nafasi gani kwa mtoto aliyeasiliwa (adopted)
 
Ila wengi wanatolewa kwenye vituo vya watoto yatima so wazazi wanakuwa hawana ila kwa mzazi anae mpenda mwabae sidhan kama anaweza kumtoa sadaka mwanae[/QUOTE


No hawa wana wazazi kabisa. My question is ina maana kabisa unakuwa umemtoa sadaka na kama ni kumuona ina tegemea na huruma ya aliyemwasili au kuna sheria inayoelekeza namna ya kuasili. Je hapa TZ sheria au utaratibu ukoje
 
Subirini mtoto atoke kimaisha hapo utasikia mm ni Shanghazi yake,mm ni kaka yake nimemlea,mm ni rafiki yake wa karibu sana tunacheza wote.mm ni mamdogo na Bamdogo ndiye nimepeleka kituoni kwa kulelea mayatima.ahahh
 
Toto la madonna (Rocco) linapiga ganja, unga na mipombee mbaya

Hafai kuwa mlezi wa watoto, hajatulia hata robo
 
Rocco ni mtoto aliyezaa na yule film directore mwingereza Ritchie?
Yeah..

Guy Richie alikuwa ananaswa vibao hadharani...hapo Madonna kafumaniwa halafu analeta ubabe...

Sasa sijui hawa watoto huwa anawaleaje na kile kiserengeti chake Jesus...
 
Back
Top Bottom