Watoto wa kike na baba zao

Itabidi niombe darasa la jioni Mwalimu, naona hapa leo panataka kuchafuka!

Usijali Kimey, hapa haribiki neno hapa ndani. Leo ni kuwa real tu mwanzo mwisho :]

Sema kama upo tayari turudie chapter ....:p
 
Usijali Kimey, hapa haribiki neno hapa ndani. Leo ni kuwa real tu mwanzo mwisho :]

Sema kama upo tayari turudie chapter ....:p
Twende tu mdogo mdogo Mwalimu, mwisho wa siku tutaelewana,
Hebu nipe msemo mmoja nikatumie upande wa pili kuna mtu nataka kumpa.. lol
 
Twende tu mdogo mdogo Mwalimu, mwisho wa siku tutaelewana,
Hebu nipe msemo mmoja nikatumie upande wa pili kuna mtu nataka kumpa.. lol

hahaha inategemea unataka kupigia "lines" au unataka "kumtimua" ......
 
Mtoto wa kike kulelewa kama mwanaume ndiyo nini hasa na maana yake ni nini? kwa hiyo wanawake wawe kundi gani? Mfano mimi nimelelewa maisha ya ujasiri kazi kwa sana, kusoma kwa sana tena day school na nikirudi kuna siku napalilia mahindi shamba, wakati wa mavuno naenda shamba kuvuna mpunga. Nimelima bustani za nyanya na mbogamboga hapo nyumbani hivyo kupelekea sokoni tulikuwa tunaenda kununua vitu vichache sana. bustani za maua kibao ndiyo kazi yangu. Na zaidi ya yote nilifaulu tena hadi chuo kikuu. Sijawahi hata mara moja kuambiwa eti uwe kama mwanaume, so what? mimi ni mwanamke na nitakuwa hivyo daima sina sababu yoyote ya kujivunia jinsia ya kiume hao wanaume wenyewe nilikuwa nawatupa mbali darasani sasa niambiwe uwe kama mwanaume kwa lipi hasa!!!!!!!! acha mwanaume aitwe mwanaume na mwanamke aitwe mwanamke kwani hawa wote kila mmoja ana nafasi yake katika jamii. Am proud to be a woman always!!!!
 
hahaha inategemea unataka kupigia "lines" au unataka "kumtimua" ......
hahahaha tuanze kwa kupigia "lines" kwanza, maana naona hata Babu ODM kule upande wa pili hali imegeuka kidogo
 
hahahaha tuanze kwa kupigia "lines" kwanza, maana naona hata Babu ODM kule upande wa pili hali imegeuka kidogo

Coming to think of it......waswahili wanamisemo mingi zaidi ya kutimulia tu. Hawajui kubembeleza hata kidogo. Hapa kaa inataka kula kwako leo :p
 
Mtoto wa kike kulelewa kama mwanaume ndiyo nini hasa na maana yake ni nini? kwa hiyo wanawake wawe kundi gani? Mfano mimi nimelelewa maisha ya ujasiri kazi kwa sana, kusoma kwa sana tena day school na nikirudi kuna siku napalilia mahindi shamba, wakati wa mavuno naenda shamba kuvuna mpunga. Nimelima bustani za nyanya na mbogamboga hapo nyumbani hivyo kupelekea sokoni tulikuwa tunaenda kununua vitu vichache sana. bustani za maua kibao ndiyo kazi yangu. Na zaidi ya yote nilifaulu tena hadi chuo kikuu. Sijawahi hata mara moja kuambiwa eti uwe kama mwanaume, so what? mimi ni mwanamke na nitakuwa hivyo daima sina sababu yoyote ya kujivunia jinsia ya kiume hao wanaume wenyewe nilikuwa nawatupa mbali darasani sasa niambiwe uwe kama mwanaume kwa lipi hasa!!!!!!!! acha mwanaume aitwe mwanaume na mwanamke aitwe mwanamke kwani hawa wote kila mmoja ana nafasi yake katika jamii. Am proud to be a woman always!!!!

Way to go Aine .....this is what I'm talking about :]
 
Disturbing...

I actually find it very moving. I am sure kama wanaJF wote wangeshare their past here, usingependa hata kuzisoma. Usione watu wanakatiza mitaani wakitabasabu na kucheka ukadhani they had perfect lives. Some have gone through difficult lives you could imagine. I normally try not to make assumptions of other personal lives.
 
Ingawa bado sijaoa ila natamani binti yangu awe na tabia za kujiamini ambayo ndo wanaume wengi wanayo,ila kuzidi kujifanya mwanaume unaweza usiolewe mana anajua utamwonea tu au kuwa mbishi,Sisi darasa la kwanza mpaka la saba tulikuwa tunapigwa vichwa na msichana mmoja,kila mtu anamwongopa na mpaka leo ni single wakati rika lake wameolewa,nani anajua may be wanaume wameogopa.
 
Ngoja nikwambie Asha. Your daddy wala si wa ajabu kulia. He is just like my dady. Kwenye harusi zetu zote baba yeye ni full tears. Na kwetu hakuna aliyeolewa na 18. Mfano mimi nimeolewa na 27. Kwa hiyo usidhani ungeolewa late asingelia, angelia tu. He loved you so much that he could not believe that there is any other man capable of taking good care of you. may he RIP.

Gaijin unajua the good thing ya kusema jamvini ni nini??? You really don't give a damn if someone judges..

We are people behind this Avatars sometimes so different from the real person..
Watu wanizungukao... hawajui the real me hata kidogo kuliko hata hapa jamvini tokana na the fact kua
twaepusha kudharaulika, kua judged basing on your past life in relation na jinsi unavyoishi...
Siwezi ishi maisha a lie hata jamvini a lie??? i would be suffocating my self... ofcoz kuna vitu
basics naweza lie jamvin as wapi naishi, married or not, age, and the like but not my experience!!

Tumetofautiana personalities, kuna mtu hapa jamvini anataka aji paint kua yeye ni saint..
well i know I am not... na kuna mambo nimefanya ktk macho ya jamii yetu yakawa mabaya
but jamvini i don't mind what i expose for it is the only way i can express exactly how i feel
whether somebody loves/hates it... believes/do not believe..

The first post nilituma na ikakudisturb... i wanted to share kua ni moja wa mtoto wakike alokua
anapendwa na babake regardless alikua 48 but cried at my wedding thus the brief history..

You being disturbed that much has just given me an impression (sorry if am wrong..)
that unataka watu tusitoe personal experiences ambazo mtu hapendi...

Oh! and sorry for maelezo marefu, neva been able tu narrow it down!
 
I actually find it very moving. I am sure kama wanaJF wote wangeshare their past here, usingependa hata kuzisoma. Usione watu wanakatiza mitaani wakitabasabu na kucheka ukadhani they had perfect lives. Some have gone through difficult lives you could imagine. I normally try not to make assumptions of other personal lives.

You are very right. People shouldn't be making assumptions about other people's lives.
But I believe the ones who get disturbed have a right to express their reaction as the ones who got moved.
And I don't even think its possible for a person to have a perfect life so that assumption is out of the question
 
Umenikumbusha nilikuwa bingwa wa masumbwi mpaka darasa la tatu.

Nakumbuka mara ya mwisho nilimtwanga kijana mmoja nikiwa darasa la pili nyuma ya darasa huku darasa zima linanishangilia. Ila nilianza kuona naishiwa nguvu bahati nzuri mwalimu akaingia class ikabidi ngumi zisitishwe wakati nilishampeleka jamaa chini. Basi wakati mwalimu anafundisha huyo kijana amekazana kunambia tutaendelea njiani tukiwa tunatoka shule. We nilikimbia maana niliisi nitakula kichapo. Well from that day nikaacha kupigana lakini niliacha nikiwa naheshimika kama bingwa wa masumbwi.

Utotoni nilikuwa sikubali kuonewa aisee. Nilikuwa natwangana na kaka zangu kwenda mbele. Lakini mbona sasa nimekua sijawahi pigana na kwanza sidhani hata kama nina nguvu za kumpiga mwanaume tena. But for kids ni very possible kupimana nguvu.

Ingawa bado sijaoa ila natamani binti yangu awe na tabia za kujiamini ambayo ndo wanaume wengi wanayo,ila kuzidi kujifanya mwanaume unaweza usiolewe mana anajua utamwonea tu au kuwa mbishi,Sisi darasa la kwanza mpaka la saba tulikuwa tunapigwa vichwa na msichana mmoja,kila mtu anamwongopa na mpaka leo ni single wakati rika lake wameolewa,nani anajua may be wanaume wameogopa.
 
Ngoja nikwambie Asha. Your daddy wala si wa ajabu kulia. He is just like my dady. Kwenye harusi zetu zote baba yeye ni full tears. Na kwetu hakuna aliyeolewa na 18. Mfano mimi nimeolewa na 27. Kwa hiyo usidhani ungeolewa late asingelia, angelia tu. He loved you so much that he could not believe that there is any other man capable of taking good care of you. may he RIP.

This post Nyumba Kubwa daima NITATHAMINI...

Thank you....
 
Hapa tutajua nani ni mzazi na nani si mzazi. Ila kwa ujumla suala la malezi mara nyingi wanaume tunawaachia wamama, kitu ambacho ni kibaya sana. Mdingi flani alikuwa akim-treat binti yake kwa namna alivyokuwa anaona inafaa. Binti akampenda zaidi baba yake zaidi ya mama, siku alipotumbukia kwenye janga la mimba akiwa shule, watu walimsingizia baba mtoto kwamba ndo mwenye mimba. Mzee wa watu alipata aibu hadi kumhurumia - akawa hatoki hata ndani.
Mambo ya malezi ni kumuachia muumba, kama binti atakuwa na tabia za kiume powa, akiwa na za kike powa. Kijana wa kiume huyo ndo lazima kunyooshwa awe na tabia za kiume kwa sababu akiwa na za kike .... ????? mnajua mijini mnayaona.
 
Back
Top Bottom