Watoto wa kike na baba zao

Unfortunately, posts kwenye ile thread went to the extreme, Mods wakaihamishia Jukwaa la Wakubwa.

EMT... sasa unanifanya niwe conviced there is somthing i am missing huko...lol..
Nikija jiunga in the future nitakukumbusha for i neva forget. Now i get why you
ulini refer kupata habari...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
mkuu
umenikumbusha wakenya..
wa namanga,wanagombania wanawake wa tz wanasema
dada zetu sio wabishi,na wanajua kuwa treat wanaume vizuri..
kuna mkenya mmoja inasemekana alikuwa mlevi kupindukia
anarudi saa tano usiku amelewa kila siku..
alipomuacha mke wake mkenya,akamuoa mtanzania...
pombe kaacha,saa kumi na moja yupo home lol

mimi niliwahi fika uganda na kenya.
wakijua tu we ni mwanaume wa tz..
wanakugombania lol

Inawezekana. B'se kuna rafiki yangu Mkenya alishaniambia kuwa wanawake wa Kitanzania ni wakaribu sana. Hiyo ni kama miaka 10 iliyopita. Nilipomwuliza why akasema alitembea na mwanamke wa Kitanzania Kilimanjaro, baada ya kumaliza mambo, mwanamke akamshukuru kwa kumwambia "Asante". Jamaa anasema alishtuka na hakuamini. Anasema that does not and will never happen in Kenya. I told him inawezekana ilikuwa ni one off "Asante" lakini huwa anakuja sana Tanzania for that purpose na anadai "Asante" anazipata. Kila Mmalawi niliyekutana naye, kwenye mazungumzo lazima aseme I like your women. Now, I don't bother asking them why because it could probably be the same old story. Lakini sio kwa wanawake tuu. Hata wanaume ni "wakarimu" pia. Ndio maana uligombaniwa Kenya na Uganda. lol.
 
unaambiwa wakenya
akitongoza mwanamke mfano kahaba
wakakubaliana atamlipa 15,000 asubuhi
iwapo huyo mwanamke atakunywa na kula
gharama ikafika 3000 mfano.
basi asubuhi atalipwa 12,000...

so hivyo ndo wakenya wanaume walivyo.pata picha lol
 
  • Thanks
Reactions: EMT
EMT... sasa unanifanya niwe conviced there is somthing i am missing huko...lol..
Nikija jiunga in the future nitakukumbusha for i neva forget. Now i get why you
ulini refer kupata habari...

Kawaida thread iliyowekwa MMU ikiwa explict au na posts ambazo ni explicit inahamishiwa Jukwaa la Wakubwa. Labda ndio maana unakuta baadhi ya watu wanalalamika thread/posts zimefutwa kumbe zimehamishwa na hawana access na kule. Na kama umepost kwenye hiyo thread iliyohamishwa, utaonekana pia kwenye lile jukwaa though, you don't have access to it, or you don't even want to go there. Nafikiri kuna haja ya Mods kuliangalia hili. Kwa hiyo Ashadii, posts zako nyingi ziko kule, though you do not have access to it. I bet you don't even know this. Do you? Naomba na hii tuwe waangalifu isije ikahamishiwa kule.
 
Jamani acha wanawake wawe kama walivyo wanafanya mambo mengi sana ambayo mwanaume hawezi fanya....mambo ya kuwafanya wajizarau jinsia zao halafu mnajifanya eti ndo mnasaidia haifai
 
1.AKINA BABA HUWAPENDA ZAIDI WATOTO WA KIKE KWA VILE KWA KUMUANGALIA MTOTO UNAPATA PICHA YA MKEO ALIVYOKUWA ENZI ZILE.
2.ULINZI:HUWA TUNAHISI KUWA WATOTO WA KIKE WANAWEZA KUONEWA KULIKO WA KIUME.
3.MARA NYINGI WATOTO WA KIKE WANA TABIA NZURI ZAIDI YA WA KIUME,NI WATII nk.
 
Ume sum up very well. Ila kwa huyu mganda ntakuja muuliza anachofokiri deep inside mpaka kutaka mwanawe awe more like a boy. Ila sijawahi kulea mtoto wa kike na hata ningelea mimi si mwanaume. Hence nilitaka nijue hao wanaume wanaolea watoto wao kuwa more men like wanawaza nini au they just do it bila kuwa na malengo yoyote? Je hawataki mabinti zao waonewe in future? Je wao wanaona being a lady is disadvantageous? Au wanaamini ukiwa na tabia za kike zaidi hutaweza ku work hard for you life wakimaanisha kuwa kuoelwa si mtaji? Maana kuna msemo watu usema mmeo wa kwanza duniani ni elimu/kazi etc.
waooo!!!!!!!!!! very interesting comment. main issue here is as parent let them be as god made them and not making them be like the way parents are because that will never hapen but as parent you have to be alert with any changes to your kids so that their remain in moral line because sometime we do mistake by saying let them be.
 
I beg to differ mkuu, tuliolelewa kwa style hiyo we are proud to be female with our unique features and adding up men's characters inatufanya tuwe more than a package! pata picha she can be woman and still some characters za kiume panatokea in between gender which is ver ver unique! I av friends like me yaani raised to act like men u cant get enough of them. Simaanishi kuwa female na kuwa raised like a female unakuwa not strong, ni kama ilivyo poa kuwa na rafiki gay anakuwa mwanamme mwenye kuact like woman! If u happen to associate with them they are ver different unique individuals though hawakubaliki katika jamii yetu.

It's unnatural to act that way, you don't need to act like a man or need men characteristics to be confident. Embrace your feminine and you'll be a wonderful human being. Picture this a guy who tries to act, talk, look or behave like a woman wouldn't that look like he's competing with his own nature (unnatural)?

You sound like a person who believes it's wrong to be a woman, if I read you right, you have an intrinsic motivation that a person can't be complete unless she has a little bit of masculinity in her. It was for a good reason women/men act they way they do, trying to create your own invention won't cut it because their differences is numerological. Being feminine doesn't mean being weak or submissive, I have female friends who are natural, yet confident and powerful, they're educated, run their own companies but they don't wish or try to act like men.

It's unfortunate that in our societies, we look down on women but if we start here and go out to educate our people that it's wonderful (note I didn't say okay) for a girl to be a girl and women can do it, we'll get far in life.
 
I agree with you Chamoto 100%.. lakini kumbuka ni muda gani na katika mazingira gani unasema hivyo.... Kama mtu ameshadumazwa na mila na taratibu hizo potovu hawezi kukuelewa ukisema ongeza bidiiii .. .....

Naelewa kuwa maji yakimwagika hayazoleki lakini pia tusikate tamaa kuelimisha wenzetu, naelewa pia hata baadhi ya wanaume wanaoelewa hili huwa wanaendekeza hiyo tabia (mfano hiyo ya kulala chini ya sakafu) kwasababu kwa kiasi fulani wananufaika, inawafanya wajione wako juu. Hata hivyo tabia hii hudidimiza jamii kwasababu kama wanawake watajihisi wanyonge wataonyesha unyonge wao kwa watoto wao amabo nao wataendeleza hiyo fikra kwa kizazi kingine. Ukiangalia jamii zote zilizoendelea waliwawezesha wanawake na zile zilizodumaa kimaendeleo zinawashusha wanawake.

infact unaweza sema ongeza bidiii yeye akachukulia ongeza utii kwa mume

Pale nilikuwa namaanisha bidii, mfano ya darasani, binti anaambiwa akazane mtihani ujao apate 91% badala ya 90% hapa anashindana na uwezo wake kuliko kushindana na Tulizo ambaye anapata alama ya 95% kila mtihani.

Kwa upande wa pili unaweza fanya hivyo kama utakuwa umeshajenga familia yako katika misingi ya usawa na upendo...hapo watoto wote umeshawajenga kisaikolojia kuwa sawa na pia umeshaonyesha kujali jinsia zao..yes.. go ahead make it direct "ongeza bidiii"
Hapa tumeelewana vyema.
 
Ndugu yangu hao rafiki zako unaosema wame achieve na wana makampuni na bado wanaoneka ni more femine, ni kwa mtazamo wako. Waulize hata wataalamu waliosomea gender wakwambie all over the world successful women are compared to men whether its real or just people's perception! Hata ujirembe vipi as long as you are a CEO au Permanent secretary people will perceive you to be with more men's characters!

It's unnatural to act that way, you don't need to act like a man or need men characteristics to be confident. Embrace your feminine and you'll be a wonderful human being. Picture this a guy who tries to act, talk, look or behave like a woman wouldn't that look like he's competing with his own nature (unnatural)?

You sound like a person who believes it's wrong to be a woman, if I read you right, you have an intrinsic motivation that a person can't be complete unless she have a little bit of masculinity in her. It was for a good reason women/men act they way they do, trying to create your own invention won't cut it because their differences is numerological. Being feminine doesn't mean being weak or submissive, I have female friends who are natural, yet confident and powerful, they're educated, run their own companies but they don't wish or try to act like men.

It's unfortunate that in our societies, we look down on women but if we start here and go out to educate our people that it's wonderful (note I didn't say okay) for a girl to be a girl and women can do it, we'll get far in life.
 
Mie hii sijainote vizuri nafikiri baba aliwatrain vile kwa vile aliona hakuna kidume home, kwa hiyo akawa hivo ili muweze kujiprotect wenyewe maisha yenu yote
 
Kawaida thread iliyowekwa MMU ikiwa explict au na posts ambazo ni explicit inahamishiwa Jukwaa la Wakubwa. Labda ndio maana unakuta baadhi ya watu wanalalamika thread/posts zimefutwa kumbe zimehamishwa na hawana access na kule. Na kama umepost kwenye hiyo thread iliyohamishwa, utaonekana pia kwenye lile jukwaa though, you don't have access to it, or you don't even want to go there. Nafikiri kuna haja ya Mods kuliangalia hili. Kwa hiyo Ashadii, posts zako nyingi ziko kule, though you do not have access to it. I bet you don't even know this. Do you? Naomba na hii tuwe waangalifu isije ikahamishiwa kule.

EMT I am aware of the fact that zinahamishwa but was not aware that i do
appear there for i thot those who are who do not have access are
automatically programmed to not appear.... No wonder.....
 
Ndugu yangu hao rafiki zako unaosema wame achieve na wana makampuni na bado wanaoneka ni more femine, ni kwa mtazamo wako. Waulize hata wataalamu waliosomea gender wakwambie all over the world successful women are compared to men whether its real or just people's perception! Hata ujirembe vipi as long as you are a CEO au Permanent secretary people will perceive you to be with more men's characters!
Haya naomba unisaidie kwa mtazamo wako to be more feminine ni kupi
 
Ndugu yangu hao rafiki zako unaosema wame achieve na wana makampuni na bado wanaoneka ni more femine, ni kwa mtazamo wako. Waulize hata wataalamu waliosomea gender wakwambie all over the world successful women are compared to men whether its real or just people's perception! Hata ujirembe vipi as long as you are a CEO au Permanent secretary people will perceive you to be with more men's characters!

Hata mimi ningependa kujuzwa kuwa mwanamke ni kupi na kuwa mwanamke na character za mwanamme ni kupi.

Coz nami nawajua very successful women ambao siwaoni na characters za kiume hata kidogo.

Tunaomba muongozo
 
I am dady's favourite kid na nalitambua hilo na ver proud of it, alinikuza like a man yaani kuwa I can do anything in this world with my three bros and one sisy, niliamini katika hilo na ninaishi katika hilo, ila inaniwia ngumu kumake meaningful relationships like marriage with men coz nawaona they can add nothing in my life than sex n headaches! I want to win every argument and kwa ofisi ni issue as bado mfumo dume unatawala, every thing nakifanya nafanya for my family i.e kids najiona kama baba wa familia as I can do every thing without the assistance of man ila issue inakuja bros wanakimbia wanakuoana kama mtashindana ndani! Sijaweza kuwa na 'shosti' yaani 99% of my i spend with men n i enjoy every bit of it coz kule twadiscuss maendeleo na b'ness tu siyo sijui unafanya hivi mume asitoke ndani! Naamini I will never be like a man coz I va uterus they dont av kuna extremes cant go as woman na kuna extreme they cant go as men tuna tofauti zetu n will never be same ila most issues we can do. Hate men wasio responsible like wanaotunzwa or ambao wako weak, will raise my girls to be like men so as to be able to survive in dis rough world ukiwa soft sana dunia inatake advantage kwako.

Sasa naanza kuamini kuwa mfumo dume unatetewa na kuendekezwa sana na wanawake wenyewe,which makes me wonder if it ever is a problem at all!so,men are not soft ndo maana dunia hai-take advantage kwao!,so,u dont spend your time with girls sababu wanaume ndo wanatumia muda mwingi kujadili maendeleo kuliko wanawake!,so,kwako relationships kwako is all about sex AND HEADACHES!baba yako amekuonea na kukudhulumu 'uanamke' wako na wewe hutaki kufanya jitahada zozote kuepuka!
 
Sasa naanza kuamini kuwa mfumo dume unatetewa na kuendekezwa sana na wanawake wenyewe!
Wanawake ndio kiini cha maendeleo katika jamii sasa kama idadi kubwa itakuwa na mawazo ya akina morio basi tunasafari ndefu ya kujitambua.
 
Kwani msichana akilelewa kama msichana bila ya kuambiwa awe kama mwanamme hawezi kuwa ngangari?

Hiyo dhana ya kufikiria lazima mwanamke umlee kama mwanamme ndio utapata mwanamke anaejiamini imefungamana na mfumo dume big time.
Nakuunga mkono 100% Gaijin. Kwa malezi ya namna hii, mwisho wa siku huyo unatengeneza dume jike fulani au kwa maneno mengine unatengeneza a woman with a man's attitude.
 
Back
Top Bottom