mmh, ya kweli haya?
Wakoje? Unanitisha
we unataka kuwanyima wenzako mambo mazuri
mmh, ya kweli haya?
Wakoje? Unanitisha
mimi pia ni binti la kifipa tuko poa tu hamna ndumba wala nini hayo mambo ya uchaw yapo kila mahali mi naona tu hilo jina la sumbawanga lawatisheni!!
posuma??ulya kapoli??
Mashalaah.....!!mimi pia ni binti la kifipa tuko poa tu hamna ndumba wala nini hayo mambo ya uchaw yapo kila mahali mi naona tu hilo jina la sumbawanga lawatisheni!!
Mmmmhhhh, makubwa!! Mwaka umeuanza vibabaya. Ni posuta siyo posuma!!! Rudi kwa huyo mwalimu wako wa kifipa usubiri graduation ndipo usalimie, usidandie lugha za watu waweza leta maana tofauti ikawa kizazaa.
Wanapenda sana mambo ya kishirikina. Ukimuoa mwanamke wa kifipa basi ujiandae kuwekwa kwenye chupa na kama ikitokea siku unatafuta soksi zako kabatini ukajiona ukiwa kwenye chupa unakuwa bubu tokea siku hiyo.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Umeanza vizuri umeharibu hapo mwisho kwa kuweka sifa ambayo sio yao.
Acha uongo ww,umeona wapi.Au sinema za kinaijeria!?
Acha kuchafua dada zetu wewe, lete ushahidi.yaani wana dharau hao wasichana wa kifipa,tena hawapendi maendeleo ya ndugu..usipokuwa mchawi au mshika dini wanakuloga
LOL! Muda wote umejificha nyuma ya keyboard utayajulia wapi haya? Tembea uone.
Yalinikuta ila kwavile na mimi alinikuta nipo ngangari nikapatwa na kigugumizi tu. Hadi leo hii ninakigugumizi.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
nawafahamu wachache wapo hivyohivyoWana matak* na mapaj@ makubwa na ni ving'ang'anizi!
Uchawi wohi wohi mjiandae kupaa na ungo na radi kali kupiga ndani..!!Wadauzi em nipeni siha za waschana wa kifipa jamaaani
Mhh io n huruka ya mtuHawanyimagi mwanaume, ukimtongoza akikukatalia kaoge mtoni na magadi
acha kabisa ni mali mno:Wadauzi em nipeni siha za waschana wa kifipa jamaaani