Lilian Masilago
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 246
- 120
Mimi mwenyewe mfipa na ninajifahamu. Nampenda sana Yesu..LOL! Ukisikia paaaaaaah....... Hebu waelezee wewe unayewajua nikusikie.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mimi mwenyewe mfipa na ninajifahamu. Nampenda sana Yesu..LOL! Ukisikia paaaaaaah....... Hebu waelezee wewe unayewajua nikusikie.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kakuingiza chaka huyo hawapo hivyo.....!
hivi mtu anayekuroga anakukea kweli?
Hahahaaah!! Sijui nipoje aisee maana wamenikimbia, imebidi nichukue kifaa cha kifipa nakula tu raha.........mpoje?
Maana ulisema kila ukimtajia mwanamke kabila lako anakimbia
una mapembe?
Kakuingiza chaka huyo hawapo hivyo.....!
Mimi mwenyewe mfipa na ninajifahamu. Nampenda sana Yesu..
amna mkuu. kweli kabisa, wajuwa uyo binti arinishangaza sana.
yani awa wenzetu, awachelewi kuzenguwa.
Hahahaaah!! Sijui nipoje aisee maana wamenikimbia, imebidi nichukue kifaa cha kifipa nakula tu raha.........
Mimi mwenyewe mfipa na ninajifahamu. Nampenda sana Yesu..
Mama Mdogo???mmmh, ngoja aje mtu fulani
Kataviiiiiiiiiiiiiiiiiii
antena zao ziko kidigital au kianalogi?
Mimi mwenyewe mfipa na ninajifahamu. Nampenda sana Yesu..
Kongosho... achana na mabinti wa KIFIPA....! Hii ni kutoka "rohoni mwangu"...!utawajua tu
povu linawatokaje?