Watoto wa Kifipa

Watoto wa Kifipa

Mimi kama mdau wa Kifipa nasema kuwa wasichana wa Kifipa ni wasichana wanaojiheshimu na wanaojua kuzitunza ndoa zao,kama unataka kupigiwa goti mpaka chini karibu kwetu Ufipani, kama unataka msichana ambae hata hakosi kwenye misa ya parokiani na nyumba kwa nyumba njoo huku kwetu Ufipani, kama unataka msichana mvumilivu ambae unaweza ukasafiri kwa mwaka mzima ukamkuta salama njoo kwetu Ufipani. Kasoro yetu bwana ni kwamba sie ni wanywaji wazuri wa pombe ya kienyeji aina ya Sute iwe kwa mama,baba na mtoto wafipa tunapiga pombe kwa kwenda mbele
 
Mimi ni muha, nimeoa ufipan. Ndo kwanza tuna miaka 2 kwenye mahusiano, ni mpole, hapendi ugomvi, ila ana kiburi fulani najua ntamrekebisha tu. Sioni tatizo kuwa naye kwani ni mtani wangu pia. So akinitifua au nikimtifua tunachukulia ni utani japokuwa huwa haitokei saana
 
Wanapenda sana mambo ya kishirikina. Ukimuoa mwanamke wa kifipa basi ujiandae kuwekwa kwenye chupa na kama ikitokea siku unatafuta soksi zako kabatini ukajiona ukiwa kwenye chupa unakuwa bubu tokea siku hiyo.
Duuh, unaelezea yote hayo! Inaelekea familia yenu kuna mchawi walau mmoja
 
mimi pia ni binti la kifipa tuko poa tu hamna ndumba wala nini hayo mambo ya uchaw yapo kila mahali mi naona tu hilo jina la sumbawanga lawatisheni!!
 
Back
Top Bottom