Wadauzi em nipeni siha za waschana wa kifipa jamaaani
Wanapenda sana mambo ya kishirikina. Ukimuoa mwanamke wa kifipa basi ujiandae kuwekwa kwenye chupa na kama ikitokea siku unatafuta soksi zako kabatini ukajiona ukiwa kwenye chupa unakuwa bubu tokea siku hiyo.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Acha uongo..
Wanapenda sana mambo ya kishirikina. Ukimuoa mwanamke wa kifipa basi ujiandae kuwekwa kwenye chupa na kama ikitokea siku unatafuta soksi zako kabatini ukajiona ukiwa kwenye chupa unakuwa bubu tokea siku hiyo.
Wafipa wananidhamu kuamkiwa kila siku pamoja na wadogo zako kawaida, wanapenda kupiga magoti hata kama umemuita unataka kumuambia jambo, wanapo kua hawajaolewa kama wewe ni mpenzi wake una haki ya kwenda kumchukua hata mbele ya wazazi wake afu kesho asubuhi ukamludisha, wanapenda sana kunywa pombe hasa za kienyeji, ni wachapa kazi kugongewa swala la kawaida hawajui kukataa,
kuna binti mmjo arikuwa jirani yangu aliniambiaga kuwa kereti ya bia 1-2 kwake kitu kidogo sana. nilishika kichwa kwa mshang'ao, kumbe wafipa ndivyo walivyo, kazi kwelikweli.
kuna binti mmjo arikuwa jirani yangu aliniambiaga kuwa kereti ya bia 1-2 kwake kitu kidogo sana. nilishika kichwa kwa mshang'ao, kumbe wafipa ndivyo walivyo, kazi kwelikweli.
mahaba + kukea(kubembeleza)= 100%, but ayo mambo mengine ndiyo noma. a.k.a uchawi
Umeanza vizuri umeharibu hapo mwisho kwa kuweka sifa ambayo sio yao.Wafipa wananidhamu kuamkiwa kila siku pamoja na wadogo zako kawaida, wanapenda kupiga magoti hata kama umemuita unataka kumuambia jambo, wanapo kua hawajaolewa kama wewe ni mpenzi wake una haki ya kwenda kumchukua hata mbele ya wazazi wake afu kesho asubuhi ukamludisha, wanapenda sana kunywa pombe hasa za kienyeji, ni wachapa kazi kugongewa swala la kawaida hawajui kukataa,
na wanamme wakoje?