- Thread starter
- #21
Mimi ni mod sasa nakupa warning ya mwisho kijana
kwa kutumia ID hiyo pendwa au?
Mimi ni mod sasa nakupa warning ya mwisho kijana
kifilio!!!!!!!!
Hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
Lakini pia watoto wangu wakiona avatar yako wanalia sana kwa woga mkuu!!!
kifilio!!!!!!!!
Hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
Lakini pia watoto wangu wakiona avatar yako wanalia sana kwa woga mkuu!!!
Mtu akae kariakoo amekuwa nyanya?
Amekuingilia kwenye kazi yako nini maana wewe ndo unatisha hapa town. Watu wa mbagala wakikusikia hulala na majeanz
hata wale wa tandale nao wananihanya kishenzi, sahivi nataka nianze project ya masaki na ostabey nao watie adabu.
POPOBAWA.
Binafsi nimeishi Kariakoo karibu miaka 10....kuanzia mwaka 1998 - 2008. Nimeishi mtaa wa Sikukuu na Kariakoo karibu na St.BenardLeo nataka tukumbushane mji wetu mkongwe,mji maarufu wenye historia kubwa ndani ya nchi hii lakini inayoelekea kupotea.Mko wapi watoto wa kariakoo wa ukweli mtueleze tuijue kariakoo iko vipi,ilikua vipi,raha na karaha za mitaa ya kariakoo,na je kariakoo ya zamani na ya sasa zinalingana?karibu sana maskani mnaoijua kariakoo kiundani mtujuze sie wakuja maana ndo kwanza tunaishi kwenye maghorofa mapya baada ya wenye mji kuukimbia mji wao,maana tumekuwa tukiyasikia mengi kuhusu mitaa hii ilivyokua zamani.
Ah..kwetu hiyo.. Mitaa ya MkunguniSwahili,,Mafia,Masasi,Narung,ombe,Tandamti,Pemba,Kongo,Twiga,Nyamwezi,Aggrey,etc...
Misikiti,Kwa Mtoro,Idrissa,makanisa,KKKT Kariakoo..
Zahanati,kwa Dr Maro,yule wa kihindi Dr nani vile? Na pale Pan African kwa Dr Makene..
Siwezi sahau miilk shake,na ice cream za Bakhressa pale Livingstone.. Na mikate ilikuwa ya ukweli enzi hizo.. Mitamu ina ladha..
Mahoteli,Mico Hoteli,Hadhara Mount(Pemba na Msimbazi)...
Kulikuwa na askari mmoja alikuwa na mikogo miaka fulani pale Msimbazi Police.. Akiitwa Koplo Mukama Sharp!
Palikuwa na mama mmoja maarufu wa kihindi mama Songambele... Marehemu mzee Chaurembo alikuwa mjumbe wetu wa nyumba kumi.. Tulikuwa tunaenda duka la kaya kupimiwa sukari na unga...
Mambo mengi jamani..
Binafsi nimeishi Kariakoo karibu miaka 10....kuanzia mwaka 1998 - 2008. Nimeishi mtaa wa Sikukuu na Kariakoo karibu na St.Benard
hospital ya zamani.
Kuna mambo mengi sana niliyojifunza wakati naishi Kariakoo (nitaorodhesha machache tu)
1. Karibu ya wakazi wake waliowengi ni jamii ya kiislaam....wakristo ni wa kupapasia kwa mbali sana.
2.Nyumba zote za zamani zinamilikiwa na Wamanyema,wangazija,wahindi na waarabu....haya magorofa ya kisasa sijui wamiliki wake.
3.Wafanyabiashara waliowengi ni Wapemba,wahindi,waarabu na waswahili (hasa wakinga na wachaga)
4.Wazawa wa Kariakoo (dark skin) ni waswahili wa kutupwa! yaani wanamaneno ya kejeli na misemo ya maudhi sijapata kuona!.
5.Vijana wengi wa kariakoo (hasa wazawa) hawataki kufanya kazi yeyote....wanalala saa moja asubuhi na wanaamka saa moja jioni.
wengi wao wanajishughulisha na mambo ya madawa ya kulevya,kula milaa na dili za hapa na pale ili wapate pesa ya kwenda kula chips kwa Dullah pale mtaa wa Sikukuu na kwenda kwenye ma night clubs.
MWISHO:
6.Kariakoo na Ilala zitakuwa ni sehemu za mwisho sana katika ukombozi wa nchi yetu kwa mara ya pili....maana wakazi wa maeneo haya wanaipenda CCM sijapata ona! yaani wao na ccm na ccm na wao!. Haya ndiyo machache niliyoyashuhudia kwa macho yangu
wakati naishi kariakoo
kaangalie kwenye kamusi ya kiswahili utaona maana yake halisi...mzee,usikurupuke.
watoto wa mitaa ya swahili hili jina maanake la kumegwa vp kijana unapakatwa nini?
huku karibu na nyamanoro au?