Watoto wa digitali

Watoto wa digitali

Hashpower7113

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
1,354
Reaction score
2,144
Hebu niambie, ingekuwa wewe ni mwalimu wa chekechekea halafu vitoto viwili unavyovifundisha, cha kike na cha kiume vikaja kukuuliza: "Eti mwalimu, watoto kama sisi tunanaweza kupata ujauzito?" Ukajibu haiwezekani, ka kiume kakamgeukia mwenzake kakamwambia, si nilikwambia usiwe na wasiwasi!!!! Ungefanyeje?
 
siku hizi kujotoa mhanga na mabomu ni uamuzi rahisi kuliko malezi!
 
Lolz...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yaan huu utandawazi ni noma jamani mpaka vitoto duuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Maharaba nyanda hujambo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom