MjukuWaBabu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 456
- 721
Yeah.. Muumba anataftwa wakati nguvu zipo, Hawa wako bize na kudominate mapenziWamtafute muumba wao siku za Ujana wao kabla hazijaja siku watakazosema hawana furaha ktk hayo...
🤣🤣🤣Miaka 5 mbele tunawasahau vitoto vya 2000 tunabaki na 2010
Kituo kinachofuata watoto wa 2020 tukifika 2035 kipindi hicho wa 2000 na 2010 watakua washazeeka na hao ndio watoto wao wanaanza kupigwa maweNiwakumbushe tuu nyie watoto, hata enzi za Sodoma na Gomora kizazi chenu kilikuwepo na kilipata adhabu Kari ya moto,
Uswahilini kwetu wanakupa kila kitu2010 hadi leo ni miaka 15.
Miaka 15 kuwa na mahusiano na mtoto wakike wa miaka hiyo ni ubakaji mkuu.
Hiki kizazi Cha moto sana, pita mtaani ujionee Mkuu2010 hadi leo ni miaka 15.
Miaka 15 kuwa na mahusiano na mtoto wakike wa miaka hiyo ni ubakaji mkuu.
wanahitaji counseling yakutosha.Mungu awasaidie
Hakika mkuuwanahitaji counseling yakutosha.
🤣🤣 Unapewa na kwampalangeUswahilini kwetu wanakupa kila kitu
Huko mjini TikTok, Facebook na Instagram ndiko kumechafuka zaidiHakika mkuu
Natafakari comment yako, sipati mwelekeo wa hoja yako.Tatizo lipo kwa wanaume na sio wanawake .
Analysis ya nguvu. Wengi wa rika hilo wamekwisha kuwa single moms Wana watoto 2 hadi 3.Huyo wa 2000 sasa hivi ni 25 keshakuq mshangazi, ukisema vitoto vya 2000 kwa harakaharaka ni wale kuanzia 2005 ambao wako chuo sasa hivi.
Vya 2010 vina utamu tayari?Hello good people.
Leo nimeonelea tufanye jambo apa kwa kuwapa somo Hawa wadada wa Leo ambao wanajichukulia special sana hasa kwa hivi vizazi vya 2000 na hiki kipya cha 2010
Hawa watu ni walimbukeni sana wa utandawazi na mahusiano.
Hawa wanichukulia mahusiano ni bihasha. Kibaya zaidi wao wanajiona wapo mbele ya muda na technology.
Hawa wanaamini kila mwanaume wanaweza mtimizia katika tendo. In short hawa ni kizazi kipya cha revolution ya prostitutes ambao wapo sokoni yaani night clubs, bars na mitaani.
Itoshe kusema Hawa watu watachuja mapema sana maana wanashemyentwa haswa na wao wanaona ni fashion kuwa na wanaume msululu.
Niwakumbushe tuu nyie watoto, hata enzi za Sodoma na Gomora kizazi chenu kilikuwepo na kilipata adhabu Kari ya moto, enzi za Nuhu kizazi chenu kilikuwepo, kiliambjlia mafuriko. Dunia haiitaji speed mliyonayo otherwise mtaishia kuchuja na kuwa mashangazi katika umri mdogo.
I'm out.
Wenu MjukuWaBabu.