Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,401
WATOTO NI MALI YA BABA, NA SIO MALI YA MAMA.
Anayetoa mbegu kupeleka kwa mama(ardhi) ni baba(mpandaji), anayezaliwa na kuvunwa(mtoto) ni mali ya mpandaji(baba), na ndio maana baba(mpandaji) anapaswa kulinda shamba lake(mke) ikiwemo parizi(kulea) ili kupata mavuno mema(mtoto mwema), na ndio maana mwanamke anaweza kwenda kuolewa na mme mwingine na huko akamzalia watoto mme mpya, na wale watoto wa kwanza kubaki kwa mme wa kwanza ambaye ndiye mali zake na jukumu lake. Mtoto ni mali halali ya baba na ndio maana kisayansi tunatumia Ubini wa mme kwa watoto na kwa mke ili kuwafanya wote kuwa kitu kimoja. Aksanteni
Deogratius Nalimi Kisandu.