Watoto marufuku kuangalia mieleka

Watoto marufuku kuangalia mieleka

suleyman100

Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
43
Reaction score
7
Mtoto mmoja kutoka usingizini na kukuta baba yake yupo juu ya mama yake, huku miguu ya mama imekunjwa kuelekea kichwani. Dogo akajua hii ni mieleka LIVE bila ya refa, akainama na kuchungulia mabega ya mama nakuona yote yamegusa godoro! Mtoto akaanza kuhesabu huku akipiga godoro! Paa! 1, Paa! 2, Paa! 3. Akamnyanyua dingi mkono na kumuambia, "Mzee kama John Cena umeshinda ila siku nyingine uvae bukta".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom