Habari zenu Wanajamvi.
Wakuu naomba msaada
Mwaka 2020 Mwenyezi Mungu alinipa mtoto wangu wa tatu ambaye alikuwa anajicho moja kubwa na lingine lilikuwa la kawaida, mtoto uyu alifariki 2022 ghafla mana ilitokea kama degedege ndani ya saa mbili akawa amefariki.
Mwaka huu 2024 Mwenyezi Mungu amenipa mtoto wa nne naye pia anajicho moja kubwa na lingine kawaida, ijapokuwa apo kabla nilikuwa napata watoto wenye macho size sawa na mimi nina macho size sawa .
Hawa watoto wote wanne kila mmoja ana mama yake. Naomba kuwasilisha.