Watoto Hawa Bwana.....!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,701
Matatizo ya ENGLISH medium school kwa watoto wetu, siku moja MTOTO alichukua passport ya ***** na kuisoma, akaona ilivyoandikwa:-
Name: AMINA
Place: TANGA
Birth: 1979
Sex: F
Mtoto akamwambia, "Mama hauko serious, kwenye SEX Una F? Baba atakuacha"
 
brazakaka serious kabisa umeamua ileta hii hapa...
its daaammnnn outdated..!.
 
brazakaka serious kabisa umeamua ileta hii hapa...
its daaammnnn outdated..!.
hahahaaah!! Kumbe ilishawekwa muda mrefu? Sorry data sikujua.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom