Watoto chini ya miaka 8 kulazwa rumande!!

Watoto chini ya miaka 8 kulazwa rumande!!

MamaG

New Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Sheria inasemaje juu ya watoto chini ya umri wa miaka 8 kulazwa rumande kwa kosa la kushutumiwa kuvunja kioo cha gari wakicheza na mwenye gari akasisitiza watoto walazwe rumande?

Tukio hili limetokea siku ya jumapili 22 Sep. 2013 hapa jiji la Arusha na watoto hao wawili wa kiume miaka 8 na miaka 7 wamelazwa rumande pale Central Police Arusha!
 
Pumbavu hao watoto, unaacha kucheza kwenu unacheza mtu alipo park gari lake.???
 
Huyo mwenye gari alitaka tu kuwaharibia watoto maisha
 
Back
Top Bottom