Watoto bila chanjo, chanzo cha moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto bila chanjo, chanzo cha moto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Asha Abdala, Oct 27, 2007.

 1. A

  Asha Abdala JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2007
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 1,134
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Eti nyie wenye watoto wachanga!

  Je, yamewakuta kama ya kwangu? Kwa miezi kadhaa sasa nakwenda hospitali za serikali kumpeleka mwanangu wanasema chanjo hakuna kabisa. Sasa tunatengeneza taifa la namna gani la wakati ujao kama watoto wetu hawachanjwi chanjo za kinga zinazostahili?

  Nawasalimu

  Asha
   
 2. K

  Kasana JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2007
  Joined: Apr 3, 2007
  Messages: 414
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Dada Asha habari,
  Sentensi yako iko too general,
  uko Dar au mikoani?
  Mwanao ana umri gani/au unaongelea aina gani ya chanjo?
  Na ulipewa sababu gani kwa nini chanjo haipo? na ni chanjo aina gani uliyotaka kumpatia mwanao?
   
 3. Bi. Senti 50

  Bi. Senti 50 JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2007
  Joined: Apr 17, 2007
  Messages: 291
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  juzi Ijumaa, mdogo wangu alienda Mburahati ingawa chanzo zilikuwepo lakini haikuwa ya kutosha wengine walirudi wameambiwa hadi Jumatatu. Sijui nini kinaendelea nitajaribu kufuatilia na kuwaletea habari. Kama tumefikia hali ya kutokuwa na chanzo basi tuna tatizo.

  asante
   
 4. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kasana ana swali hapo juu usije kuingia mitini tena.
   
 5. Mushobozi

  Mushobozi JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2007
  Joined: Aug 20, 2007
  Messages: 543
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wengi wanadhani kuwa chanjo ina msaada kwetu binadamu;la hasha usijidanganye.
  Chanjo zimekuwa ni silaha kabambe na muhimu wanayotumia ma Freemason katika kuteketeza uhai wa binadamu.
  Chanjo kama zile za ndui(small pox)na yellow fever(hipatitis B) zilitumika kuzambaza virusi vya ukimwi kule nchini Marekani kwa kutumia mashoga na wafungwa wakati huku Africa ikitumika kwa Watu wa Africa Magharibi.Kuna rundo kubwa la ushahidi wa haya yote.Hivyo ni upuuzi mtupu kusema kuwa ukimwi umetokana na nyani ajulikanaye kama green monkey huko nchini Congo DRC.
  Hivyo hakuna uhusiano wowote kati ya HIV na ugonjwa wa ukimwi.Kinachosababisha ukimwi ni hizi dawa wanawapa watu ambao hata virusi vya ukimwi hawana bali ni mfumo tu wa kinga umeshambuliwa na kukosa nguvu aidha kwa sababu ya lishe duni au magonjwa mengine ambayo pia hayahusiani na ukimwi hata chembe.
  Hivyo hata ugonjwa wa ukimwi kama wanavyodai si kwamba hauna Dawa bali dawa ipo kabisa ila wanachofanya ni kupunguza idadi ya binadamu ili kizazi cha nyoka kiweze kuitawala dunia vizuri na pasipo kikwazo chochote.
  Hivyo basi ninyi kina mama msidhani chanjo asipoipata mtoto hatakufa la hasha hata kufa Upo Hapo!
  Pamoja na hayo kuna kampeni kama ile ya nyota ya kijani(uzazi wa mpango ambao pia madhara yake ni makubwa hapo baadae) ambayo ilishika kasi miaka ya mwishoni mwa 1970 baada ya chanjo ya magonjwa niliyoyataja hapo juu kusambazwa kwa njia hiyo.Pia magonjwa kama Ebola,Black Death,Bird Flue na mengineyo ni ya kutengeneza tu kama virusi vya ukimwi vilivyotengenezwa kwenye zile maabara za kivita huko Marekani ndani ya Jimbo la Maryland.
  Wakati huo huo Taifa la Marekani likiona madhara yametokea ambayo wao wenyewe wameyatengeneza basi hugharamia vitu kama chanjo na madawa wakiupa mtizamo wa ubinadamu huku wakituangamiza taratibu kwa njia hiyo.
  Nitakuwa nimewapa jambo jipya ambalo linahitaji hekima na tafakari katika kuamua lipi ni sahihi na lipi siyo sahihi.
  Hapa tuelewane,Kwa kuwa dunia nzima ilikwisha aminishwa hivyo na mafreemason wenyewe ambao wametuficha elimu yenye manufaa na umuhimu kwetu naa karibu asilimia 80% wanaamini hivyo itakuchukuchua muda kunielewa.Ukitizama mambo kwa juu juu tu hutaweza kukubali ila ukitizama mambo kwa undani zaidi na pande zote mbili ndipo utaweza kunielewa na kuyaelewa haya ninayoyasema.
  Yapo mambo mengi ambayo pengine usingeweza kuyagundua mapema na yaliyokwisha wahi kutokea hapa duniani kama kuuwawa kwa viongozi wa serikali na Kanisa na Sababu za vita ambavyo vimekuwa haviishi ndani na nje ya Bara la Africa.
  Nakutakia Tafakuri njema na yenye mafanikio na kwa wenzako pia juu ya hili jambo zito la kuepukwa.
  Godfrey Martin.
  Mwanafunzi wa Sheria chuo Kikuu Mzumbe.
  Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa kutumia namba 0754373727.au barua pepe gmarttz@yahoo.com
   
 6. A

  Asha Abdala JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2007
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 1,134
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  We DUA

  Mbona unaniandama hivyo? nimekunyima nini? Ni hapa DSM. Hospitali na zahanati temeke hazina chanjo.

  Kulikoni?

  Asha
   
Loading...