Asha Abdala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 1,130
- 44
Eti nyie wenye watoto wachanga!
Je, yamewakuta kama ya kwangu? Kwa miezi kadhaa sasa nakwenda hospitali za serikali kumpeleka mwanangu wanasema chanjo hakuna kabisa. Sasa tunatengeneza taifa la namna gani la wakati ujao kama watoto wetu hawachanjwi chanjo za kinga zinazostahili?
Nawasalimu
Asha