VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
The problem is some parents dont take their responsibilities..., and they are more of a bad influence than good influence..., You know you might be a biological father/mother lakini ukashindwa kuwa mlezi wa watoto...Suala la mzazi yupi bora ni irrelevant mkuu...
Kila mzazi ana jukumu lake kwa wakati wake....si sawa na kusema moyo ni bora kuliko ubongo....
Ndiyo ukweli wenyewe huo. Au ni uongo?
Ok wakuu...
Kiumjula sehemu kubwa ya vijiji vya kitanzania vimetawaliwa na umaskini...japo kuna vijiji vingine ni vizuri sana (hata natamani kuishi huko niachane na kero za mijini).....ni vema huu mjadala wa ni wapi kuna maisha mazuri ukaachwa (mnaweza kuunzishia thredi yake....:biggrin1🙂
Hoja ya msingi ni wazazi wanaposhindwa kupata ufumbuzi muafaka unaohusu maisha ya watoto wao, inapotokea kutoelewana kati yao!
BTW: Natamani insights zaidi za kisa cha BabyGal.....(ila kuna jamaa anatoa macho kwelikweli)
Come on Man!! I am not underestimating... and if you say you are from rural areas it is evident you do agree with me that the environment is below ordinary for a child to be brought up kisasa especially in the globalized village to today... (hapa i am talking about that village wametolea tangazo somo la Computer - watoto wanafananisha na TV)...You say it is a rural small town.... I bet there is electricity... there is net access... atleast a zahanati with atleast a kamzushi Doctor.... Hapa am talking about genuine village area and its related environment... And please do not just keep the phase up just because your baby said so.... tell her the truth as much as she was in the village you did your best for her to get the best - BUT note that the child in question (refer to Mbu) is believed to be in worse conditions...
Unaposema kwamba hudhani vijijini kuna elimu nzuri na huduma ya afya kuridhisha unamaanisha kwamba wote waliopo mjini wanapata huduma nzuri ya afya na kusoma kwenye shule nzuri?!Kwasababu kama hicho ni kigezo cha kushusha maisha ya kijijini na kupandisha ya mjini basi naomba nikwambie kwamba umefeli.Popote pale ili upate vitu hivyo viwili wa kiwango cha juu na cha kuridhisha basi unahitaji pesa ili kuvilipia.Basi kama ilivyo mjini hata vijijini huduma nzuri zipo kinachohitajika ni pesa yako tu.Na ndio maana bado naamini kwamba huyo mama alifanya jambo la maana kama pesa ya matumizi na kumwezesha mwanae kuishi/kusoma na kulelewa vizuri huko kijijini kwao haikosekani.
Tukirudi kwenye swala la "baba/ mama kua na UWEZO WA KULEA" nadhani unakosea sana unapofikiria uwezo wa kulea upo kwenye pesa pekee.Maana kwa ulivyomwelezea huyo rafikiyo ni dhahiri sio yeye ambae angeshinda na mtoto nyumbani kuhakikisha kwamba anakula na kushinda salama.Wazazi wengi mjini hata nusu saa ya kukaa chini na kuongea na watoto wao hawana kutokana na pilika pilika za mji.Sasa kumlea mtoto katika mazingira hayo hata kama anapata all the latest barbie dolls and little fire tracks it still won‘t make up for the time you/or anyone else closely related to them should spend with them.
Na ndio maana nikasema kwamba muhimu ni mtoto kulelewa kwa upendo na kuyafurahia mazingira aishiyo..kuishi na baba/mama kunaweza kusimpe chochote kati ya hayo mawili hata kama wanatumia pesa kibao kumpeleka hosp akipata homa au kumpeleka shule ambayo haimpi mapenzi anayoyahitaji nyumbani kwasababu wazazi wako bize kutafuta pesa na mtu pekee aliye karibu nae ni mfanyakazi ambae anaweza asiwe
na mapenzi yoyote na huyo mtoto kiasi cha kuweza kumlea kwa taratibu zifaazo.Wakati mtoto huyo huyo angelelewa kijijini (unapopaona duni as if watu wote unaowaona mjini walizaliwa na kulelewa mjini ndo maana wameendelea) na akapata mapenzi mara mia ya ambayo angepata directly toka kwa mzazi wake.
Nadhani hapa mmeshindwa kuelewana hence kubadilisha point aliyoitoa... Issue sio mjini au kijijini Issue ni upendo.., ofcourse ni heri kuishi pangoni / au mtaani kwa upendo kuliko nyumbani / mjini kwa masimango na chuki...
what matters ni upendo na wewe uliishi kwa upendo wa bibi (well and good) na sio kwamba wazazi wako hawakukupenda, lakini labda ni circumstances zilizopelekea hivyo....., nadhani all that matters from mzazi kwa mtoto ni kufanya everything in his power kumpa mtoto platform nzuri ya maisha yake na vitu hivyo ni:-
- Love
- Good knowledge, education ili imsaidie mbeleni
- food and shelter.....
I am PROUD of all Men wenye msimamo huu.... KEEP IT UP.... ODM.... Bravo!!
hommie hata mi nimeona aisee....
Sidhani kama tumetoka nje ya mada maana bado tunajadili iweje mzazi akatae mwenzake kukaa na mtoto alafu hata yeye asikae nae matokeo yake ampeleke kijijini kwa wazee.
Hhehe kuhusu kisa changu ruhusa toka kwa baba inahusu.
Aisee...c'mon and open your eyes.....ngoja ODM mwenyewe atakuja kukwambia hapa ukweli wenyewe LOL
Kuachana............! I hate kuachana aisee!
Khaaa!Basi uache infii maana iko siku mama Matesha atakuacha.
Umeona hommie wanavyomwonea ODM?He! Yamekuwa hayo?
Naomba ujibu maswali yangu uloluka.... naona itatusaidia kukupata where it is coming from... (only if you don't mind...)
Sidhani kama tumetoka nje ya mada maana bado tunajadili iweje mzazi akatae mwenzake kukaa na mtoto alafu hata yeye asikae nae matokeo yake ampeleke kijijini kwa wazee.
Hhehe kuhusu kisa changu ruhusa toka kwa baba inahusu.
Khaaa!
Umeona hommie wanavyomwonea ODM?
You know me well buddy, do me a favor.......... tell him!Aisee...c'mon and open your eyes.....ngoja ODM mwenyewe atakuja kukwambia hapa ukweli wenyewe LOL
Just an FYI, small towns/ rural areas are the best when it comes child rearing because you don't have most of the vices that are in urban areas. In small towns kids aren't exposed to drugs, crime, prostitution, and other related activities that may pollute the mind of a child.
Mind you, kids are very impressionable. They learn what they live.
You know me well buddy, do me a favor.......... tell him!
And you know my ability and capability, dont you shem?I am PROUD of all Men wenye msimamo huu.... KEEP IT UP.... ODM.... Bravo!!
baby am thirsty.....lets go
My saying that they should be brought up in town depends entirely on the cognitive sense of the above in blue....
And FYI i was talking about villages... (My kids are brought up in a small rural town - But have access to things muhimu katika dunia ya leo)..
Mr D... I am more interested in talking about a kid who is brought up in a village... Period! Thus still IMO... Mjini bora zaidi...
And you know my ability and capability, dont you shem?
I stand for our African traditions and customs........ I practice what our ancestors preached......Tell me what? About what ODM stands for or you want him to be your character witness and tell me how morally upright you are?