Watongozaji tukutane hapa please!!

Ahsantee sana kwa ushauri wako mkuu ntautumia
 
Yaani kwa mfano nikimtumia text ya kumtongoza yeye anajibu tu Haaaa haaa
sasa wewe endelea tuu..yani fanya kama tayari yani.. hunachakupoteza kila la kher na uzinzi mwema
 
Kwahyo nimkomalie mpaka atoe msimamo wake upo upande gani??
 
hapana we swala la kuendelea kujua atasemaje we futa kabisa ..we sasa fanya kwa vitedo yan kama ndo tayari mmeisha ongea luga moja.. Halafu inaonyesha we mgumu kuelewa sana ndo maana huyo manzi anasumbua
 
Mi sio mgumu wa kuelewa mkuu ila huwa napenda ufafanuzi ili nifanye kitu cha uhakika
 
Muite mahali kula mzigo.acha maneno mengi.kutongoza na maneno kibao mambo ya kizamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…