david_helamoja
New Member
- Oct 13, 2020
- 4
- 2
Daaah hawa TCRA hawajafungua internet tuu š
AiseeeAman ni muhimu kuliko hayo uyanenayo! Tatizo mitandao imevamiwa na wajinga, waongo, wazandiki, mawakala wa mabeberu nk! Kwa hiyo relax ufurahie Uhuru, chini ya serikakari ya CCM, chama chenye maono, kiongozi wa ukombozi nchi za Africa, na sasa ni chama cha ukombozi wa kiuchumi na Uhuru wa kweli kutoka kwa beberu! CCM inaongoza kwa kuwatangulia njia waafrika, tena kwa vitendo
Who cares, walioshika mpini wao maisha kama kawaida.It may cause economic slowdown.
Nani amchukulie hatua nani?Takribani siku nne sasa huduma ya mawasiliano ya Internet imekuwa inapatikana kwa shida sana na wakati mwingine inakulazimu utumie visaidizi kama VPN n.k cha ajabu mamlaka zinazohusika zimekuwa kimya kana kwamba hakuna tatizo lolote.
Watanzania wameendelea kupata hasara kwa maana ya vifurushi walivyonunua na wale wanaofanya biashara kwa njia ya mtandao. Ni wakati sasa wakuvichukulia hatua vyombo hivi. Je, kuna haki kwa mpewa huduma katika hili utakapofungua shauri mahakamani?
Embu tujadili.