Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,718
- 11,333
Inabidi kurudisha katika hali ya kawaida imekuwa Changamoto?Ni kweli Intaneti ipo chini na hilo limefanyika kwa ajili ya usalama wa nchi. Hata hivyo, jitihada zinafanyika kurudisha Intaneti katika hali yake ya kawaida.