ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,145
- 17,637
Naisubiri Star Link kwa hamu sanaBeberu Ellon Musk anakuja na internet ya bei rahisi dunia nzima. Huyu atakuwa hana wa kum-control eti zima net kwa sababu ya uchaguzi!
Naisubiri Star Link kwa hamu sanaBeberu Ellon Musk anakuja na internet ya bei rahisi dunia nzima. Huyu atakuwa hana wa kum-control eti zima net kwa sababu ya uchaguzi!
Tuna chuma Magufuli hata Kenya wanamliliaHatuna kitu Tanzania!
Tuna chuma Magufuli hata Kenya wanamlilia
Ukisusia utatumia mtandao wa baba yako au...?
Tulia... vumilia... nothing you can do.
Wale wanaofanya biashara online, wanategemea wateja wao online, na wengi hawajui kutumia vpn unalionaje hilo, kama mfanyabishara atatumia vpn halafu wateja hawajawah hata kuiskia na hawajui kuitumiaKwani ukitumia vpn unapungukiwa nini? Mbona iko poa na kila kitu kinaendelea? Hata wasoporudisha maisha lazima yaendelee. Kama wana uwezo wafunge.na vpn
Wateja watajua tu. Kwani sisi tulikuwa tunaijua? Kwa nini ubembeleze mtu arudishe kitu wakati alikitoa mwenyewe?Wale wanaofanya biashara online, wanategemea wateja wao online, na wengi hawajui kutumia vpn unalionaje hilo, kama mfanyabishara atatumia vpn halafu wateja hawajawah hata kuiskia na hawajui kuitumia
Mpaka waijue, mda huo ulikua umeshalipia facebook ads kusponser matangazo ili yawafikie wateja, utakua umepata gharama ya shngap mpaka wajueWateja watajua tu. Kwani sisi tulikuwa tunaijua? Kwa nini ubembeleze mtu arudishe kitu wakati alikitoa mwenyewe?
Nchii hii imejaa wajina na wapumbavu.Wamefanya hivo kwa maelekezo toka juu.
Labda Kama Kuna mahakama isiyo ya ccm ndo Unaeza pata hiyo haki
NakaziaNchii hii imejaa wajina na wapumbavu.
Hata ukiwapima tezi dume kwa vidole watakaa kimya
wewe ni bwegeAman ni muhimu kuliko hayo uyanenayo! Tatizo mitandao imevamiwa na wajinga, waongo, wazandiki, mawakala wa mabeberu nk! Kwa hiyo relax ufurahie Uhuru, chini ya serikakari ya CCM, chama chenye maono, kiongozi wa ukombozi nchi za Africa, na sasa ni chama cha ukombozi wa kiuchumi na Uhuru wa kweli kutoka kwa beberu! CCM inaongoza kwa kuwatangulia njia waafrika, tena kwa vitendo
Usifikiri hela unazo pekee yako.Ijumaa nimeenda na Check CRDB foleni ambayo siku nyingine inaenda speed lkn ijumaa ilikuwa mwendo wa konokono mpaka watu kibao walighairi kufanya transactions mtandao wa benki ulikuwa chini.Mbona internet banking zinafanya kazi vizuri Mkuu...hebu acheni visa.
Hongera Mgufuli, Hongera Mwinyi ,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA