Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,018
- 144,377
uwezi kuvavadua kidogo mkuu manake wengine tunaishi sehemu zisizo na magazeti.
Duh! Baada ya Nchimbi kupumzishwa na watesaji wamekatwa?:crazy: yule wa Dr. Ulimboka ameishia wapi?
Wata watatu wanaotuhumiwa kumteka na kumtesa mhariri mkuu wa New Habari Corporation,Absalom Kibanda wamekatwa na jeshi la polisi nchini.
CHANZO:NIPASHE.
Kwani Kibanda si mtu?Hata mimi ninahamu sana kusikia kawekwa ndani huyo aliyemtesa dr. Ulimboka, ni kwanini hakamatwi tu?
acha ubahili mkuu. Weka details kidogo, wengine tuko nangulukulu huku, gazeti zinafika baada ya siku 4
Mkuu, kwa nini usiyaamini? Ina maana hata Tanzania Daima huliamini?Ni uongo, siyaamini haya magazeti leave alone hao police
Kwani Kibanda si mtu?
Mkuu, kwani kutoa taarifa za uchunguzi ni vituko?Mh!jeshi la polisi haliishi vituko!
ni watu wa uvmaccm mkuu.