Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,321
- 271,648
Juzi tu Baada ya kuapishwa Mh Simbachawene alijitokeza hadharani akiwaelekeza Polisi namna nzuri ya kukamata Watuhumiwa, akapinga ukamataji wa kishamba kwa kutumia mabunduki mengi na magari ya kificho huku wakamataji wakivaa kininja
Leo yametokea huko Kidia Old Moshi AMBAKO bila wananchi kuingilia Kati Mama yake Malissa angetekwa na kuuawa
Hii Maana yake kipo kikosi ambacho Waziri hana mamlaka nacho, n.a. asipoangalia iko siku hata yeye atatekwa