Nonpartisan
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 278
- 254
Wadau ninaswali kidogo baadhi ya pesa ninazopokea ofisini kwangu wateja wanazichana kwenye kona kwa makusudi, ni kwanini?
Msaada wa mawazo
Msaada wa mawazo
Tunaamini hivyokuchana noti ni dawa ya kuzuia chuma ulete
Kwahiyo wanajua duka langu lina chuma ulete ndo maana ela zao wanachana?kuchana noti ni dawa ya kuzuia chuma ulete
wana weka alama ili wahakiki kama kweli mzunguko wa pesa hakuna au ni uzembe tu wa watanzania.
Braza wee ni shoga enheee huku hapakufai cyo mahala pa jinsia mojaIli majizi chadema wasizipate
watu mna majibu mujarabu kwa kweliWe jamaa umefanya siku yangu kuwa na furaha, umenifurahisha, (don't mind) ela imekuwa ngumu hadi watu wanaisi chuma ulete ipo kazini, biashara imekuwa ngumu, pesa haionekani
Hapa kazi tu.
mteja sio anaeichana kwani nae kaipata hivyohivyo,Kwahiyo wanajua duka langu lina chuma ulete ndo maana ela zao wanachana?