Natafuta chumba mbezi au kimara wadau, naomba bei.
1.Chumba na sebule sh ngap
2. Chumba, sebule na bafu sh ngap
Mkuu hiyo nyumba yako unayopangisha ina ukubwa gani, kodi kwa mwezi ni kiasi gani na iko Kimara ipi?habari wadau..
ni mimi tu naisoma namba au wote.. maana nina kajumba kangu napangisha kimara... toka mpangaji amehama naona watu hawapatikani kama zamani...
kupangisha nyumba nzima nowdays ni kazi sana..
kwa wenye dream za kujenga nyumba za kupangisha... msijenge nyumba kubwa jengeni chumba na sebule angalau ndio vinauzika nowdays...
ni hatari sana hiii...
naona zama za wenye nyumba kuringa zinaisha polepole