Wateja wa Nyumba (wapangaji) wanapungua sana siku hizi

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,820
33,455
habari wadau..

ni mimi tu naisoma namba au wote.. maana nina kajumba kangu napangisha kimara... toka mpangaji amehama naona watu hawapatikani kama zamani...

kupangisha nyumba nzima nowdays ni kazi sana..

kwa wenye dream za kujenga nyumba za kupangisha... msijenge nyumba kubwa jengeni chumba na sebule angalau ndio vinauzika nowdays...

ni hatari sana hiii...

naona zama za wenye nyumba kuringa zinaisha polepole
 
Natafuta chumba mbezi au kimara wadau, naomba bei.

1.Chumba na sebule sh ngap
2. Chumba, sebule na bafu sh ngap
 
Serikali haiajiri Mkuu... Hakuna watu wapya .. Ni walewale.

Poleni.
 
Nyumba,n chooo bhana
Kuna nyumba zngne huwez kupanga ukiona tu hi choo
Unaondoka tu bla hata kuuliza
Bei
 
habari wadau..

ni mimi tu naisoma namba au wote.. maana nina kajumba kangu napangisha kimara... toka mpangaji amehama naona watu hawapatikani kama zamani...

kupangisha nyumba nzima nowdays ni kazi sana..

kwa wenye dream za kujenga nyumba za kupangisha... msijenge nyumba kubwa jengeni chumba na sebule angalau ndio vinauzika nowdays...

ni hatari sana hiii...

naona zama za wenye nyumba kuringa zinaisha polepole
Mkuu hiyo nyumba yako unayopangisha ina ukubwa gani, kodi kwa mwezi ni kiasi gani na iko Kimara ipi?
 
kujenga nyumba za kupanga nasema wajenge tuu lakini wewe ulie nazo punguza bei hali ni ngumu hakuna hela nyingi inayozunguka nyingi wanachukua serikali kwa kodi, ila mwenye dream ya kujenga nyumba za kupanga ajenge tuu maana huu ni upepo na policy zake zaweza kubadilika au atakayekuja atakuja na policy tofauti cha msingi kwa sababu hiyo nyumba itakaa miaka mingi kiasi basi badilisha bei kutokana na hali ya uchumi wa watu huku nje.
 
Nimepanga nyumba ya kodi laki tatu kwa mwezi kwa miaka mitatu, nimepiga mahesabu kuwa nimeshapoteza milioni 11. Nikajiuliza kama miaka mitatu iliyopita ningekuwa nimejenga chumba na sebule nikawa na kipanua taratibu kwa hiyo M11, si ningeshakuwa nimemaliza ujenzi! Kwa kweli imeniuma sana. Soon nitahamia kwenye kachumba kamoja na sebule ili in the next three years niwe nimekamilisha ka gheto kangu...
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom